“Mradi huu unakwenda kuhudumia vijiji vitatu ndio makusudio lakini maji yatabaki, yatakwenda kwenye Kijiji kingine cha nne. Kwa hiyo ndugu zangu nimeona mradi nimeona maendeleo. Nimewaambia Waziri na Katibu Mkuu wake ambao ni wachapakazi wazuri sana na watendaji wao, ninawapa miezi mitatu tu, siku 90 za kazi, mwezi mmoja kufanya yale ambayo mmechelewa kukamilisha, maji yatoke kwa wananchi hawa,”Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED