Afisa Uendeshaji wa UTTAMIS Ridhiwan Mtanga akitoa maelezo kwa wakati wa maonyesho ya 88 Dole, Kizimbani Zanzibar.
Picha: UTT AMIS
Afisa wa UTTAMIS, Khalida Mbarak atoa maelezo ya kina kuhusiana na Mifuko ya Uwekezaji wa pamoja.
Picha: UTT AMIS
Afisa Masoko Mwandamizi wa UTT AMIS,Rahim Mwanga akitoa maaelezo ya kina kuhusiana uwekezaji wa Mifuko ya Uwekezaji wa pamoja kwa wananchi waliojitokeza katika banda la taasisi hiyo kwenye maonyesho ya Nanenane yanayofanyika katika eneo la Dole,Kizimbani.