VIJANA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida wametoa onyo watu,vyama na baadhi vikundi ambavyo vimekuwa na tabia ya kutweza na kudhihaki kazi kubwa za maendeleo zinazofanywa na serikali hawatavumiliwa watashughulikiwa.
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Singida, Dk.Denis Nyiraha, akizungumza leo (Novemba 13, 2024) waandishi wa habari kuelezea maendeleo yaliyofanywa na serikali ya awamu ya sita, amesema hakuna sababu kwa mtu au chama kubeza mambo yanayofanywa na serikali ya CCM.
"Nataka tuwatumie salama kama walikuwa wanafanya haya mambo kipindi cha nyuma waache,kama walikuwa wanafikiri Rais Samia Suluhu Hassan hana vijana ambao wapo nyuma yake sasa tunataka tuwaambie waache vijana tupo tumevumilia vya kutosha," amesema.
Kusoma habari hii zaidi tembelea epaper.ippmedia.com
#NipasheMwangaWaJamii #NipasheHabari
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED