UDOM kuzalisha wataalamu wengi sekta ya TEHAMA

By Getrude Mpezya , Nipashe
Published at 05:54 PM Feb 12 2025
Naibu Makamu mkuu wa Chuo,Taaluma,Utafiti na Ushauri Elekezi,Prof.Razack Lokina.

Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM),wajivunia kuzalisha wataalamu wengi katika Teknolojia ya TEHAMA kwa kutoa wanafunzi wengi na wabobezi katika mfumo huo.