Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Abdul-Razaq Badru, pamoja na baadhi ya watumishi leo Februari 15, 2025, wameshiriki Mbio za Hisani za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) zilizofanyika jijini Dar es Salaam.
Lengo la mbio hizo ni kukukusanya fedha kwaajili ya kutoa vifaa katika shule mbili, moja Tanzania Bara na nyingine Tanzania visiwani sambamba na kuboresha kituo cha miito cha HELSB. Waandaaji wamesema.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED