Dk. Biteko afungua Mkutano wa Nishati wa Viongozi Afrika

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 12:37 PM Jan 27 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko.
Picha:Mpigapicha Wetu
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefungua mkutano wa Kimataifa wa Nishati unaowakutanisha Viongozi mbalimbali wa Afrika, Mashirika ya Kimataifa; Viongozi wa Benki ya Dunia, Benki ya Maendeleo ya Afrika na taasisi ya Rockefeller (M300) inayofanyika leo Januari 27, 2025 jijini Dar es salaam.


Taarifa zaidi zitakufikia kadri zinavyoendelea kupatikana.