Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekijulisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu ujazaji wa nafasi waza ya Ubunge katika Bunge la Afrika Mashariki kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Bunge hilo kupitia (Kundi la Wanawake) Dk. Shogo Sedoyeka kilichotokea Juni 13,2024.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED