Nilikuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa nikiwa na maduka ya bidhaa za kielektroniki kama simu, kompyuta, redio na bidhaa nyingine nyingi.
Wafanyabiashara wengine walianza kunionea gere kwani walishusha bei ya bidhaa zao ile kuwavutia wateja lakini hilo halikufua dafu kivyovyote.
Ama kwa hakika biashara ndio ilikua kipaji changu cha maishani, nilikua nimesomea mambo ya biashara chuoni hii pia ilinipiga jeki katika shughuli zangu za kila siku za biashara.
Hali ilikuwa shwari hadi wakati ambapo maduka yangu yalianza kuvunjwa na kuibiwa kila mara, maduka yangu yalikua yakivunjwa kila baada ya wiki mbili na kuibiwa kila mara.
Nilijaribu kuajiri walinzi lakini wengi wao ndio waligeuka na kuwa wezi katika maduka yangu.
Hii ilikua ni fursa nzuri ya wafanyiabiashara wenye biashara kama yangu kutia fora kwani wizi ule ulinirudisha hatua nyingi nyuma.
Nilitembea kila sehemu nchini nikitafuta suluhisho la kudumu la hali ile lakini sikufanikiwa. Siku moja niliamkia kwenye maduka yangu nikapigwa na butwaa punde tu nilipowasili. Maduka yote yalikuwa wazi. Bidhaa zote zilikua zimeibiwa tena.
Nilipoangalia kwenye kamera za CCTV hakuna chochote nilichoonekana, sikupoteza imani na biashara ile kwani nilitafuta mkopo Benki na nikafungua biashara nyingine, wakati huu niliajiri walinzi wengi ili kuepukana na wizi wa kila mara kwenye biashara.
Biashara ilikaa kwa muda wa mwaka moja bila ya wizi wowote kufanyika hali ambayo ilileta mapato mengi zaidi, nililipa mikopo yangu niliyokua nayo na hapo nikajipiga kifua kwamba wizi ulikua umetokomea na tukauzika katika kaburi. Huu ulikuwa tu ni mwanzo wa mahangaiko.
Maduka yale yalivunjwa mara nyingine tena ambapo mara hii yaliteketezwa moto pia ili kufanya nisiweze kufungua biashara kwa mara nyingine iwapo nilikua na wazo kama hilo.
Sikuwa na lolote la kufanya ila kusalimu amri na kukaa nyumbani na msongo wa mawazo ukinikumba.
Hali hii ilipelekea vidonda vya tumbo kunikosesha usingizi, marafiki wote walinitoroka kwani kila waliponiona walidhani ilikua fursa yangu ya kuwaomba mikopo.
Kampuni ya bima niliyokuwa nimejisajili nayo pia ilidinda wakati ule kunipa fidia ili nifufue biashara yangu.
Nilipokuwa nikisoma mitandaoni kuhusu kazi nyingine ambazo ningefanya, nilikutana na tovuti ya Dk Bokko ambayo ina makala ambazo watu wengi walikuwa wamepitia shida kama yangu kwenye biashara zao lakini Dk Bokko waliwasaidia.
Nilifika katika ofisi zao mjini Nakuru, nilihudumiwa na kurejea nyumbani, baada ya siku tatu, kampuni ya bima ilinipigia simu ya kwamba watagharamia maduka yangu yote yaliyoibiwa na kuteketezwa moto.
Baadaye nilifungua biashara zangu kwa mpigo na tangu siku ile hakuna siku hata moja maduka yangu yamevunjwa.
Wala usiumize kichwa kabisa, ukiona mambo hayaendi kama unavyotaka, basi usisite kuwasiliana na Dk Bokko kwa namba +255618536050, mtaalamu huyu amesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa miaka mingi sasa.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED