Nimeishi na mume wangu katika raha na shida, hakuna wakati ambao nimewahi kukata tamaa juu yake anapokosa riziki, najua leo amekosa ila kesho atapata, na hiyo ndio ilikuwa imani yangu hadi tunaoana.
Baada ya kuoana maisha yalikuwa chini sana kiuchumi kutokana alikuwa akifanya kazi ya kuendesha pikipiki (Bodaboda), ni kazi ambayo alikuwa akiifanya kabla ya kunioa ingawa changamoto zilikuwa nyingi toka kwa Bosi wake.
Alipambana kama mwanaume kwa kipindi cha miaka mitatu ambacho tuliweza kujaliwa mtoto wetu wa kwanza, hivyo majukumu kwake yakawa tofauti kwa sababu familia imeongezeka pia.
Maisha yalizidi kuwa magumu kwa kila mtu, ilifika hatua hata fedha ya kununua taulo za kike (pedi) kwa ajili ya kujistiri kama mwanamke kipindi cha hedhi nilikosa!, hivyo nikawa natumia njia tofauti japokuwa niliona kama adhabu kubwa.
Kwa kawaida huwezi kununua pedi wakati ndani hamna chakula, sukari, chumvi na vinginevyo, isitoshe mtoto anataka kula na mahitaji mengine ya msingi.
Siku moja mume wangu alitoka kazini na kuniambia kuna rafiki yake alisoma naye Shule ya Msingi na sasa anafanya kazi Dubai, hivyo anahitaji kwenda huko kufanya kazi kwa sababu maisha yanazidi kuwa magumu.
Kutokana na hali ya maisha sikuwa na pingamizi japo moyo uliniuma kwa sababu nilijua nitakosa uwepo wake nyumbani. Kabla hajaenda Dubai aliwafahamisha ndugu zake kwa sababu nilikuwa na ujauzito wa miezi miwili, hivyo baadaye nitahitaji msaada wa kujifungua.
Hatimaye mume wangu aliondoka na kufika salama Dubai na kuanza kazi, nilibaki nyumbani na mtoto wangu mmoja, huku nikiwa mjamzito, sikuwa na wasiwasi maana familia yake ilikuwa ipo karibu.
Mume wangu alipopata mshahara wake wa kwanza alinitumia fedha za matumizi na ya kuwalipa watu ambao walimchangia kupata nauli ya kwenda Dubai.
Hata hivyo, katika hali ya kushangaza kitendo hicho kilifanya ndugu zake wawili pamoja na Mama yake kuchukia kwa sababu waliona maisha yameanza kubadilika.
Chuki zao kwangu ziliongezeka hadi kunisingizia mambo ambayo sijafanya, walikuwa wanamtumia mume wake ujumbe WhatsApp kuwa ninaleta wanaume ndani kitu ambacho si kweli!.
Mume wangu alikuwa ananitumia zile jumbe alizokuwa naye anatumiwa, lakini aliniambia nisiwe na wasiwasi kwa sababu ananipenda, hivyo hawezi kusikiliza maneno yao.
Hata hivyo, maisha kwa upande wa familia yake kwangu yalikuwa mfano ya Simba na Chui katika msitu. Ni zaidi ya uadui!.
Siwezi kufahamu kipi kilitokea maana iliisha miezi miwili bila kuonana na Mama Mkwe wangu, basi siku moja kaja asubuhi na mapema kwangu na kusema anataka kufunga nyumba ya mtoto wake.
Katika kujibizana naye, ndipo ndugu wa mume wangu walianza kutoa vitu ndani kisha wakachukua mtoto wangu na kufunga nyumba.
Nilijaribu kumtafuta mume wangu kwenye simu ili niweze kumwambia kilichotokea ila sikumpata!.
Jioni nilibeba mizigo yangu na kwenda kwa Shangazi yangu maana alikuwa anaishi mtaa wa jirani, nilimaliza wiki mbili sijampata mume wangu ili nimwambie familia yake ilivyonifanyia, wiki ya tatu Shangazi yangu akaniambia kutokana na umri wake anaona kuna kitu kipo nyuma ya pazia.
Baada ya kusema hivyo, akaniambia kuna mtu ana uwezo wa kunisaidia kwa muda mfupi na niweze kurudi kwenye nyumba yangu ya awali bila kusumbuliwa na mtu yeyote.
Alichukua simu yake, na kunisomea namba hii +255618536050, kisha akaniambia niongee na Dk Bokko kuhusu jambo hilo lilonitatiza na kuninyima raha!.
Sikutaka kupoteza muda, niliwasiliana na Dk Bokko, hatimaye nikaambiwa nisubiri kwa saa 78 pekee na shida yangu itakuwa imeisha.
Hata hivyo, kabla ya saa 78 kutimia tangu niongee na Dk Bokko, Mama Mkwe alinipigia simu na kuniambia nirudi nyumbani, kubwa zaidi; aliniomba msamaha!.
Cha kufurahisha, usiku huo huo mume wangu alinipigia simu direct toka Dubai na kuniambia kuwa walimwambia nimeolewa na mwanaume mwingine ndio maana alizima simu yake ila akaniambia kuwa leo ndugu zake na Mama yake wenyewe wamempigia simu na kumwambia kuwa walikuwa wamemdanganya, hivyo anaomba nirudi nyumbani.
Sikuwa na pingamizi kwenye hilo, baada ya wiki moja nilirudi nyumbani kwangu, haikuisha miezi miwili naye mume wangu alirejea kutoka Dubai na kwa sasa tunaishi maisha mazuri yenye furaha na amani.
Ukiona mambo hayaendi kama unavyotaka, basi usisite kuwasiliana na Dk Bokko kwa namba +255618536050, mtaalamu huyu amesaidia watu wengi ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa miaka mingi sasa.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED