Jana Mwenyekiti Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Massawe, alisema kuwa TRA imekubali kuboresha mfumo wake wa forodha na hivyo kamata kamata ya wafanyabiashara haitokuwepo tena, na kuwaomba wafanyabiashara wote waliofunga maduka wayafungue kwani serikali tayari imeshasikia kilio chao.
Lakini Leo Juni 26, 2024 Wafanyabiashara sehemu mbalimbali nchini wameendelea na mgomo kwa kutofungua maduka wakisubiri seeikali kutatua changamoto zao.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED