Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, 2024 huku matokeo ya wanafunzi 67 wakiwemo watano walioandika matusi yakifutwa.
Matokeo hayo yametangazwa leo Alhamisi Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Said Mohammed jijini Dar es Salaam. Amesema wanafunzi hao wameandika matusi ni tatizo la maadili, matusi hayakubaliki chumba cha mtiani na kila mahali, mwaka huu wametokea wanafunzi watano wameandika matusi,” amesema Dk. Mohammed.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED