Aweso aitambulisha programu uchimbaji wa visima 900 vijijini

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 11:49 AM May 05 2024
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso.

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameitambulisha rasmi programu ya uchimbaji visima 900 kwenye majimbo 180 ya vijijini katika kijiji cha Maescron Wilayani Hanang’ mkoani Manyara aliposhughudia kisima cha kwanza kikichimbwa.