BABA wa Taifa la Namibia na Rais wa Kwanza wa taifa hilo, Sam Nujoma, anatarajiwa kuzikwa Machi Mosi, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chombo cha habari, The Namibian, huko Windhoek, Namibia, ibada ya mwisho ya ukumbusho itafanyika Februari 28 na kufutiwa na maziko Machi Mosi, mwaka huu.
Soma Nipashe Feb 21, 2025: https://epaper.ippmedia.com
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED