Nishati ya uhakika inakuza uchumi wa nchi - Dk. Biteko

By Mwandishi Wetu , Nipashe
Published at 04:14 PM Jan 10 2025
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Doto Biteko.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,Dk. Doto Biteko Januari 10, 2025 amesema kuwa ukuaji wa uchumi wa nchi yoyote unategemea upatikanaji wa nishati ya uhakika na yenye gharama nafuu.