ALIYEKUWA Meya wa Kinondoni,Boniface Jacob ameibuka kidedea katika nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, kwa kupata kura 60 sawa na asilimia 77.
Aidha,mshindani wake wa karibu Gervas Lyenda amepata kura 17 sawa na asilimia 23.
Jacob maarufu kama Boni Yai amepigiwa kura akiwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi inayomkabili katika Mahakama ya Kisutu,Dar es Salaam.
MATOKEO UCHAGUZI WA KANDA YA PWANI.
BAZECHA
*Mwenyekiti*
1.James Haule 6=66%
2.Manase Mjema -2=22%
3.Stanslaus Mashamba -1=11%
4.Sweya Omaryi-1=0%
*Makamu Mwenyekiti*
1.Kassu Mkulyachi-3=33%
2.Wilson Katunzi-6=67%
*Katibu*
1.Deogratius Kajula-5=55%
2.Omary Mkama 4=45%
*MwekaHazina*
1.Florence Kasilima-8=88%
2.Hapana -1=12%
*BAWACHA*
*Mwenyekiti*
1.Joyce Mwabamba 5=27%
2.Rose aMarsely-0=0%
3.Rosh Moshi -09=50%
4.Rose Mkonyi-0=0%
5.Salma Shariff 4-22%
*Makamu Mwenyekiti*
1.Cesilia Kway -8=48%
2.Husna Masoud-9=52%
*Katibu*
1.Catherine Valence-8=38%
2.Evangelina Marcel 6=33%
3.Janeth Mwakalila -0=0%
4.Josephine Lwambuka-4=22%
*Marudio Katibu*
1.Catherine Valence- 7=38
2.Evangelina Marcel -11=62%
*MwekaHazina*
1.Grace Mgonjo -10=55%
2.Hapana -8=45%
*BAVICHA*
*Mwenyekiti*
1.Barnaba Mwinuka 3=21%
2.Juma Juma -9=64%
3.Nicolous Mvanda -1=7%
4.YusuphManji-1=7%
*Katibu*
1.Lilian Byebalilo-3=21%
2.Hapana10=79%
*MwekaHazina*
1.Alex Daniel -14=100%
*CHAMA*
*Mwenyekiti*
1.Boniface Jacob 60=77%
2.Gervas Lyenda -17=23%
*Makamu Mwenyekiti*
1.Ally Mohamed Kadogoo-51=66%
2.Baraka Nandonde 26=34%
*MwekaHazina*
1.Machumu Kadutu -28=36%
2.Patrick Assenga -49=64%
Nawasilisha
Kerenge Jerry
Katibu Kanda Pwani
05/102024
Kibwegere -Kibamba
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED