Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amemteua Kenan Laban Kihongosi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, kabla ya uteuzi huo Kihongosi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba na anachukua nafasi ya Dk. Yahaya Ismail Nawanda ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
© 2024 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED