MAMLAKA ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), imeonya matumizi mabaya ya ndege zisizo na rubani ‘drones’ kwa kuwa ni hatari kiusalama
Amesema miongoni mwa wanaotumia teknolojia hiyo vibaya, ni waandishi wa habari, ambao huitumia kinyume cha sheria.
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Salim Msangi ameeleza hayo leo, Februari 17, 2025, Gereza la Karanga, Moshi, Kilimanjaro akikabidhi msaada.
© 2025 IPPMEDIA.COM. ALL RIGHTS RESERVED