NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

WAZIRI wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Dk. Charles Tizeba.

21May 2017
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Aidha, amesema wizara hiyo imewasilisha kwenye Baraza la Mitihani (NECTA) taarifa za vyeti vya elimu ya kidato cha nne na sita za watumishi 830 kwa ajili ya uhakiki ambao unaendelea kwa wizara na...
21May 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Ukweli huo umebainika kutokana na uchunguzi uliofanywa na Nipashe, ukihusisha mahojiano ya kina na baadhi ya walaji wa mbegu hizo, madaktari na pia kupitia ripoti mbalimbali za masuala ya lishe....
21May 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Aidha, katika mafunzo hayo, wanafunzi waliwezeshwa kutambua namna ya kuongeza na kulinda thamani ya mazao yanayotumiwa zaidi kwa chakula katika ukanda wa Afrika hasa Tanzania, yakiwamo ya mahindi,...
21May 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Atumia dakika 15 tu kuongoza vita iliyowafyeka wanne fasta… , wakati huo kina baba wala urojo walishalala mbele
Tukio hilo lilitokea juzi saa 2:15 usiku katika duka hilo lililoko kati ya mtaa wa Aggrey na Livingstone, Kariakoo jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa mashuhuda, majambazi hao walijaribu kuteka...

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

21May 2017
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
bali na hilo, ameagiza kufanyika kwa uhakiki wa hatimiliki zote zilizotolewa kwenye ardhi oevu na kuzibatilisha haraka iwezekanavyo ili kuokoa ikolojia ya Bonde hilo. Samia alitoa agizo hilo mjini...
21May 2017
Margaret Malisa
Nipashe Jumapili
Mratibu wa taifa wa Chama cha Wakunga nchini (TAMA), Martha Rimoy, alisema hayo jana katika warsha ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari kuhusu ugonjwa wa fistula ya uzazi iliyoandaliwa na Shirika...

MSHAMBULIAJI tegemeo wa Toto Africans ya jijini Mwanza, Waziri Junior.

21May 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Waziri alifunga bao pekee katika mechi ya mzunguko wa kwanza kati ya Simba na timu yake iliyopigwa kwenye Uwanja wa Taifa msimu uliopita. Akizungumza na gazeti hili jana, Waziri alisema kabla ya...
21May 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Mahusiano ya vijana yamegubikwa na mitego mingi sana. Wapo wenye neema ya kuigundua kabla na wapo wenye bahati mbaya ambao huigundua mitego hii baada na kuwaweka katika mtihani mgumu kimaisha. Na...
21May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa Mara, Charles Mlingwa, katika sherehe za maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari ambayo huadhimishwa mwezi Mei kila mwaka. Mkoa huo uliadhimisha sherehe...
21May 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Shindano hilo litafanyika kuanzia Mei 21 hadi 25, mwaka huu kwa kushirikisha warembo kutoka katika nchi mbalimbali duniani. Aisha alisema amejiandaa kufanya vizuri katika shindano hilo huku...
21May 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Hii ni kwa sababu wenye shida hii utashangaa ndiyo wazungumzaji wakubwa, kadhalika utashangaa kuwa ni vigumu kumweleza mwenzio kuwa ana harufu mbaya mdomoni. Baadhi ya mambo yanayoelezwa kuwa...
21May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Alisema jumuiya hiyo inapaswa kutanua wigo katika utekelezaji wa majukumu yake, na kufanya ziara sehemu za bandarini ambako kuna watoto wengi walioacha shule wanaojishughulisha na ajira.  Akisoma...
21May 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Mkurugenzi anayehusika na urejeshaji wa mikopo kutoka HELSB, Abdul Khaji, ndiye aliyekabidhi bahasha zenye taarifa za kina za madeni ya wahitimu hao juzi jijini Dar es Salaam kwa mwenyekiti wa...
21May 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Mikakati ya serikali ya kujenga viwanda hivyo imetangazwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, alipokuwa akizungumzia mikakati ya serikali yake ya kuanzisha miradi mipya ya kiuchumi kupitia...
21May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akijibu hoja za wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wakati akifanya majumuisho ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2017/2018 ya wizara hiyo, Waziri Haroun Ali Suleiman, alisema nyumba...
21May 2017
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
*Wengi wakiri haijawahi kutokea Z’bar, *Paa nyumba 120 zilipaishwa kama tiara
Ghafla, akiwa hana hili wala lile, Suleiman akashtushwa kusikia mvumo wa upepo mkali. Kwa maelezo yake, sauti iliyokuwa ikisikika ni kali mithili ya ndege irukayo. Wakati akiendelea kutafakari kwa...
21May 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
UKAGUZI uliofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima Tanzania (TIRA) umebaini kuwa magari mengi ya abiria yana bima bandia. Katika ukaguzi huo, imebainika kuwa mkoa wa Kilimanjaro unaongoza...
21May 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Bila kujali kuwapo au kutokuwapo kwa sababu ya msingi ya uamuzi huo uliopingwa na Mahakama ya Juu ya Marekani, Trump aliwapa silaha kubwa wanaompiga vita. Lililo wazi ni kwamba Waislam, kama walivyo...
21May 2017
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Ujumbe huo uliongozwa na Katibu mkuu wa JUMARU taifa,  Anatory Sikulumbwe, ulifadhiliwa na serikali kwa msaada wa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga, Dk. Khalfan Haule, aliyewasiliana na Serikali ya Zambia...
21May 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Akizungumza na wandishi wa habari, Meneja wa Tanesco Mkoa wa Mbeya, Injinia Benedict Bahati, alizitaja taasisi hizo pamoja na madeni yao kuwa ni Jeshi la Polisi linalodaiwa zaidi ya Sh. milioni 700,...

Pages