Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Meneja Mahusiano Neema Temba, Meneja wa kiwanda cha Mwanza Dominic Mkemengwa na Meneja wa Kodi Timoth Rogatus(kulia) walipomtembelea ofisini kwake leo.
Picha: Mpigapicha Wetu
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda (kushoto) akimsikiliza Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Neema Temba, ofisini kwa Mkuu wa Mkoa huyo alipomtembelea leo.
Picha: Mpigapicha Wetu