Naibu Mkurungemzi Mkuu wa The Guardian Ltd, Jackson Paul (kulia),akimkaribisha Balozi wa India Nchini Tanzania, Bishwadp Dey katika ofisi za TGL zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam mgeni huyo alifanya ziara ya kuifahamu kampuni hiyo na kujifunza.
Picha: Miraji Msala
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la The Guardian, Wallace Mauggo (kulia), akimuonyesha Balozi wa India Bishwadp Dey, toleo la leo gazeti la The Giardian.
Picha:Miraji Msala
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la The Guardian, Wallace Mauggo (kushoto), akimuonyesha Balozi wa India Bishwadp Dey, mazingira ya chumba cha habari.
Picha: Miraji Msala
Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Salome Kitomary akitoa ufafanuzi mbele ya Balozi wa India Bishwadp Dey, kuhusu namna wanavyofanya kazi kwenye upande wa digital.
Picha: Miraji Msala
Balozi wa India Bishwadp Dey, akiwa kiwandani.
Picha: Miraji Msala
Balozi wa India Bishwadp Dey, akizungumza na watendaji wa magazeti Nipashe na The Guardian.
Picha: Miraji Msala
Mkurungemzi Mkuu wa The Guardian Ltd, Jackson Paul (wa pili kushoto) na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la The Guardian, Wallace Mauggo (kushoto), wakipokea zawadi kutoka Balozi wa India Bishwadp Dey ( wa pili kulia), na Mkuu wa Idara na Mambo ya Kisiasa Laksh
Picha: Miraji Msala
Picha ya pamoja.
Picha:Miraji Msala