NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga

03Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
. Ilionya kuwa kuchelewa kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yao, kumeongeza idadi ya watumia dawa hizo magerezani huku Watanzania zaidi ya 160 wakifungwa nchini China baada ya kukamatwa...

rais wa TFF

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yanga ilikuwa ipambane na Mtibwa Jumatano wiki hii, lakini mechi hiyo haitakuwapo na TFF itapanga tarehe nyingine ya kuchezwa. Hata hivyo, habari kutoka TFF zilidai kuwa mchezo huo utachezwa...
03Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
KUJIKINGA Ili kujiepusha na fangasi hakikisha unavaa nguo zilizokauka kikamilifu zinazoweza kunyonya unyevu wa ngozi, zingatia usafi sehemu zinazokuza fangasi kama kwapani, sehemu kati...

BETTY MKWASSA

03Apr 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe Jumapili
Lengo la kuendesha operesheni hiyo ni kubaini idadi ya ng’ombe waliopo ili kupanga matumizi bora ya ardhi kwa mfugaji kutoka kwenye ufungaji wa kuhama hama kwenda ufugaji kisasa. Mkwasa alisema...
03Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Marehemu Dk. Mgimwa akasema wizi huo ulikwamisha utekelezaji wa miradi mingine ya maendeleo ambayo ingegharamiwa kwa fedha hizo, ambazo walilipwa wafanyakazi hewa. Kauli ya Dk. Mgimwa ilikuja...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

03Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa kijiji hicho walisema kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo mwaka huu kumekuwapo na tatizo hilo na kuwafanya washindwe kubaini tatizo. Mganga...

MKWASA

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkwasa kwa sasa anafundisha timu ya Taifa (Taifa Stars) na kauli yake imekuja siku chache tangu kuwalalamikia waajiri wake (TFF) kushindwa kumlipa misharaha kwa miezi nane. Kocha huyo mzawa...
03Apr 2016
Nipashe Jumapili
Ongezeko hilo linaelezwa kuwa ni la juu baada ya kukamilika kwa miradi ya upanuzi katika vyanzo vya Ruvu Chini na Ruvu Juu ambavyo vinalisha maji wateja wa jiji la Dar es Salaam na Kibaha....

Rais John Magufuli

03Apr 2016
Nipashe Jumapili
inatajwa kuwa ni pigo jingine kwa baadhi ya vigogo hao ambao hivi sasa wanateseka kwa kuishi maisha wasiyoyazoea ya kubana matumizi kila uchao. Rais Magufuli mwenyewe alitangaza katikati ya wiki...

waziri wa mambo ya nje,Balozi Mahiga

03Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Afrika Mashariki na Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa, Ramadhani Mwinyi, katika ufunguzi wa mkutano...

IGP Ernest Mangu

03Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam, Hebel Mhanga, aliliambia gazeti hili mwishoni mwa wiki kuwa, jumla ya wafanyakazi 25 wameshasimamsihwa kazi kwa shutuma hizo na wamekabidhi polisi ushahidi wa...
03Apr 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Nimeleta hadithi hii ya kweli kwa lengo la kueleza umakini uliokuwapo miaka hiyo ambao, kwa kiasi kikubwa umeondoka. Kadhalika nahoji? Kwa nini leo hatuko makini kama zama hizo tunapozingirwa...

Rais Magufuli

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Madai ya MCC shirika linalohusika kusaidia nchi zinazoendelea lililoundwa na Bunge la Marekani, mwaka 2004, baadhi ya vigezo vinavyotumiwa kutoa misaada ni pamoja na kuangalia mafanikio katika...
03Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mkuu wa shule ya Sekondari ya Feza, Ibrahimu Yunus, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuwatangaza washindi waliofanya vizuri katika masomo ya...

baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Lupemba wakiwa darasani

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Awali, shule hiyo iliyopo katika Kijiji cha Bubinza, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, ilifungwa kwa muda usiojulikana ili kupisha ujenzi wa vyumba walau vine vya madarasa na pia kuboresha mazingira ya...

kikosi cha wachezaji wa Yanga

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Mabingwa hao wa Bara wanacheza mchezo wao wa kwanza wa viporo leo Uwanja wa Taifa, huku Azam wakiwa Mwanza.
Mbali na mechi hiyo, pia leo ligi hiyo itashuhudia wawakilishi wengine wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, Azam FC wakianza ratiba ngumu kwa kucheza dhidi ya Toto Africans kwenye...
03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tabia hii imeibuka sehemu mbalimbali nchini hali inayosababisha, si serikali kupata hasara, bali hata wananchi wenyewe. Kwa mfano kuna matukio ya wananchi kuchoma vituo vya polisi kwa sababu ya...

Dk. Tulia Akson

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kitendo hicho cha kutoa zawadi ya zaidi ya Sh. milioni 20 kilipongezwa jana na Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Zainab Mbusi, ambaye alisema amefarajika kuona mbunge huyo amefika wilayani humo...

Hamad Masauni

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kashfa hiyo ilibuliwa na wanachama wenzake mwaka 2010 wakati akiwa Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, na mwishowe ilimng’oa baada ya kuthibitika kuwa ni kweli alidanganya umri wake ili apate sifa ya kuwania...

Kikosi cha Chelsea

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matokeo hayo kama mwendelezo wa wa Villa kuporomoka zaidi kuelekea kushuka daraja. Katika mechi hiyo, mashabiki wa Villa waliimba nyimbo za kuibeza timu, wachezaji na mmiliki wa klabu,...

Pages