Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaaga wananchi waliojitokeza katika stesheni ya Dar es Salaam wakati wa uzind 01 Agosti, 2024.
Picha: Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizundua jengo la stesheni ya SGR  01 Agosti, 2024.
Picha: Ikulu
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa safari za treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) katika Stesheni ya Tanzanite, Dar es Salaam.

Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiingia katika treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) katika Stesheni ya Tanzanite, Dar es Salaam.
Picha:Ikulu
Prof. Ibrahim Lipumba
Picha: Ikulu
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwa na wasafiri katika treni ya SGR.
Picha:Ikulu
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia abiria waliosafiri na treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) katika Stesheni ya Tanzanite, Dar es Salaam.

Shamrashamra za wananchi wa Pugu Jijini Dar es Salaam Mara baada ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili Stesheni hapo kwa usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) tarehe 01 Agosti, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na abiria mbalimbali waliokuwa wakisafiri na Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma mara baada ya uzinduzi katika eneo la Kilometa 0 Stesheni
Picha: Ikulu