MKUU wa Wilaya ya Muheza mkoani Tanga, Zainabu Abdallah (kulia) akipata maelezo kutoka kwa  Mkandarasi wa kampuni ya ujenzi ya Mwalow, Mubaraka Mwalongo (Kushoto)  alipotembelea kukagua ujenzi wa mradi wa daraja jipya eneo la Kwamtiga kata ya Genge.
PICHA:STEVEN WILLIAM