Mtoto Shamsa Ally wa darasa la kwanza Shule ya Msingi Lukooni, jijini Dar es Salaam, akijisomea huku mama yake Salma Kambi (kushoto), akimshuhudia, katika soko la Gongo la Mboto.
PICHA: CHRISTINA MWAKANGALE