Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania waishio Nchini Korea Kusini ikiwa ni moja ya ratiba ya  kumaliza ziara yake na kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.
Picha: Ikulu
 Watanzania waishio Korea wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk, Samia Suluhu Hassan ikiwa ni moja ya ratiba ya  kumaliza ziara yake na kuanza safari ya kurejea Nchini Tanzania.
Picha: Ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.
Picha: Ikulu
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Picha: ikulu