Habari »

15Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mfano wa Reli hiyo ya Kisasa itakayotumia umeme mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika eneo la Ihumwa stesheni mkoani Dodoma.

WAZIRI wa Fedha na Mipango na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) wameagizwa kuhakikisha...

15Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe

Mwanajeshi Ramadhan Mlaku, akiwa amebebwa kwenye kitanda cha machela wakati alipofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana.

PRAIVETI wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Ramadhani Mlaku (28), jana alifikishwa katika Mahakama ya...

15Mar 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe

Balozi wa Ufaransa nchini, Frederic Clavier.

 JUMUIYA ya Kimataifa ya Nchi zinazozungumza lugha ya Kifaransa (OIF), imeiomba Tanzania...

15Mar 2018
Ahmed Makongo
Nipashe

WILAYA ya Bunda mkoani Mara, imeazimia kwamba sifa ya kwanza kwa kijana yeyote anayetaka...

15Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia mtoto na mama yake baada ya kuongea na wananchi eneo la Kigongo akiwa katika ziara. picha na maktba

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kuendelea kuzaana zaidi na kutoogopa wingi wa watu kwa...

15Mar 2018
Ashton Balaigwa
Nipashe

Mwasisi na Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Dk. Ntuyabaliwe Foundation, Jacqueline Mengi aikata utepe kuashiria uzinduzi wa maktaba yenye vitabu vya kitaaluma na hadhithi alivyokabidhi kwa uongozi wa Shule ya Msingi Uhuru katika Manispaa ya Morogoro jana, kwa ajili ya kuwawezesha wanafunzi kujisomea nyakati za masomo shuleni hapo. Mwenye koti ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Muchunguzi Lutagwelera. PICHA: ASHTON BALAIGWA

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Uhuru iliyopo  Manispaa ya Morogoro wametakiwa kujenga tabia ya...

15Mar 2018
Gideon Mwakanosya
Nipashe

Vifo bodaboda.

JUMLA ya watu 32 walifariki dunia  na wengine 41 kujeruhiwa  kutokana na ajali za bodaboda...

15Mar 2018
Gurian Adolf
Nipashe

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, George Kyando.

JESHI la Polisi mkoani Rukwa, linawashikilia watu sita akiwamo mjukuu anayetuhumiwa kuchukua...

15Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Reli TRC Masanja Kadogosa akitoa maelezo ya mradi huo wa Reli ya kisasa ya umeme kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli PICHA NA IKULU

RAIS John Magufuli amesema ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) utatoa ajira za moja kwa moja...

14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Rais wa Mauritius Dk.Ameenah Gurib-Fakim wakati alipofanya ziara nchini Tanzania mwaka jana.

Rais wa kike pekee barani Afrika, Rais wa Mauritius, Ameenah Gurib-Fakim amekataa kuachia ngazi...

14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi zinazozalisha mpunga mzuri na msafi ambao una thamani...

14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

WATUMIAJI wa mitandao na jamii wametakiwa kuacha kutangaza na kuweka hadharani picha ama kutaja...

Pages