Habari »

17Mar 2018
Gwamaka Alipipi
Nipashe

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Tate Ole Nasha.

SERIKALI ya Ufaransa imeleta neema kwa vyuo vikuu nchini, baada ya kuingia makubaliano na...

17Mar 2018
Nebart Msokwa
Nipashe

WANANCHI wa Kata ya Igurusi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya,...

17Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (mwenye kofia) akimwonyesha Naibu Waziri wake Abdalah Ulega (kulia), chapa ya mifugo alipotembelea Mnada wa Kizota mkoani Dodoma jana kutoa tathimini ya upigaji chapa unaoendelea nchini. PICHA: WMU

SERIKALI imebaini kuna watendaji wanatoa taarifa za uongo zinazoonyesha kuwa mifugo mingi nchini...

17Mar 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

Yadi ya mabasi ya mwendokasi (UDART) eneo la Jangwani ikiwa imezingirwa na mafuriko jana kutokana mvua zilizonyesha jijini Dar es Salaam juzi. PICHA: JOHN BADI

ABIRIA wanaotumia usafiri wa umma wa mwendokasi jana walihangaika kufika maeneo ya katikati ya...

17Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe

MFANYABIASHARA Abdulkadir Salah (37) na wenzake wanne jana walifikishwa mahakamani wakikabiliwa...

17Mar 2018
Nebart Msokwa
Nipashe

Barabara ya Matema mbeya.

WAKALA wa Barabara (Tanroads) mkoa wa Mbeya imeamua kuendelea na ujenzi wa Barabara ya Kikusya–...

17Mar 2018
Kelvin Mwita
Nipashe

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo (wa mwisho kulia) akiwa na wanachama na viongozi wa CCM. PICHA MTANDAO.

KILA raia ana haki ya kuchagua chama cha siasa anachotaka. Haki hii haiwatengi watumishi wa umma...

17Mar 2018
Beatrice Shayo
Nipashe

Abiria wakiwa wamekaa juu ya basi la Kimotco lililokuwa likitoka Mwanza kwenda Arusha jana, ambalo lilipinduka katika Mto Viboko wilayani Serengeti baada ya dereva kujaribu kukatisha mafuriko, kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo ambayo hakuna aliyepoteza maisha. PICHA: MPIGAPICHA WETU

ABIRIA 61 ambao walikuwa kwenye basi la Kimotco jana walinusurika kuliwa na viboko na mamba...

17Mar 2018
Romana Mallya
Nipashe

mkazi wa Yombo Kilakala jijini, Selemani Masoud akiwa na Kamanda wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa.

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia mkazi wa Yombo Kilakala jijini,...

17Mar 2018
Mary Geofrey
Nipashe

HOSPITALI ya Rufaa ya Mwananyamala katika Manispaa ya Kinondoni inakabiliwa na upungufu wa...

17Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania aliyesimamishwa, James Mataragio (KUSHOTO).

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania aliyesimamishwa, James Mataragio...

16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

Askari wa usalama barabarani anayejulikana kwa jina la Sajenti Peter amegongwa na gari leo...

Pages