NDANI YA NIPASHE LEO

BAADHI YA VIONGOZI NA WAHIFADHI WAKISHANGAA BAADA YA KUKUTA MIZOGA YA SIMBA SITA WANAODAIWA KUUAWA KWA KUTEGWA KWA SUMU.

17Feb 2018
Romana Mallya
Nipashe
Hatua hiyo imechukukuliwa baada ya taarifa iliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha picha ya namna simba hao walivyokufa na mazingira yaliyosababisha  vifo hivyo.Akizungumza na Nipashe...
17Feb 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Wapi kumbukumbu za Kawawa, Sokoine, Kingunge?
Mwanasiasa huyu ni mmoja wa waasisi wa sera, mipango na watekelezaji wa miradi mbalimbali ya kisiasa na kiuchumi kuanzia zama za awamu ya kwanza ya siasa ya ujamaa na kujitegemea, ujio wa vyama vingi...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba.

17Feb 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Dk. Mwigulu alitoa maagizo hayo katika taarifa yake iliyotumwa kwa vyombo vya habari, akiwa mkoani Kagera, wilayani Muleba katika kata ya Kasindaga, wakati wa uzinduzi wa uandikishaji wa vitambulisho...
17Feb 2018
Gurian Adolf
Nipashe
Akizungumzia tukio hilo, Mratibu Elimu Kata ya Kabwe, Geofrey Mtafya, alisema tukio la kupigwa kofi mwalimu huyo, lilitokea juzi asubuhi  majira ya saa 4:00 asubuhi  na...

Msemaji Mkuu Idara ya Uhamiaji, Ally Mtanda.

17Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Kidao, jana aliitwa kwenye ofisi hizo kwa kile kilichoelezwa kuhoji uraia wake kufuatia taarifa za chini chini kuwa si raia wa Tanzania.Akizungumza na redio moja jijini Dar esSalaam jana, Msemaji...

YANGA

17Feb 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Lwandamina, alisema kuwa ushindi wa bao 1-0 walioupata kwenye mchezo wa kwanza jijini Dar es Salaam utawafanya kuwa makini kwenye mchezo huo wamarudiano kwa kuwa bado hawajajihakikishia tiketi ya...
17Feb 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Kutoka changamoto hadi rafiki wa mkulima, wananchi wavutiwa kuuza korosho
Ni utaratibu ambao wakulima wanakusanya mazao yao katika maghala ya vyama vya ushirika na kuuza kwa pamoja huku wakilipia ushuru na tozo mbalimbali ukiwamo wa usafirishaji.Hata hivyo, wakati mfumo...
17Feb 2018
Mary Mosha
Nipashe
Wajumbe hao jana walitembelea katika forodha ya Holili na Taveta na kuhoji suala hilo katika kikao ilichofanyika ndani ya ukumbi wa forodha ya Taveta.Meneja msaidizi wa TRA Kilimanjaro, Godfrey...

JAJI Kiongozi, Dk. Ferdnand Wambali.

17Feb 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Aisha, Jaji Wambali alisema mahahakama imekuwa ikitupiwa lawama katika ukamataji mali kwa sababu  madalali wengi hawana elimu ya kutosha kuhusu utekelezwaji wa amri za mhimili huo."Kila mtu...
17Feb 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
Jonas Kisesa, mmoja wa wachuuzi wa jezi na vifaa vingine vya michezo aliliambia gazeti hili kuwa jezi za wachezaji hao wawili ndio zinanunuliwa zaidi kila anapokuwa anafanya biashara hiyo kwenye...

Maofisa wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (PTA) wakishuhudia wakati mabasi ya Kampuni ya usafiri wa mabasi ya mwendo kasi jijini Dar es Salaam (UDART) yalipokuwa yakishushwa kutoka katika meli jijini Dar es Salaam leo hii asubuhi. Jumla ya mabasi 70 yalipokelewa.

17Feb 2018
Romana Mallya
Nipashe
Mabasi hayo yalipokelewa jana katika Bandari ya Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Udart, Charles Newe. Yote yana urefu wa mita 18 yaliyoungwa katikati.Newe alisema kuwasili kwa mabasi hayo...

Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa.

17Feb 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Katikati ya wiki, video fupi iliyokuwa ikionyesha askari huyo akipewa rushwa na dereva wa gari ndogo ilisambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na kusababisha Polisi kumchukulia hatua trafiki...
17Feb 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Asilimia kubwa ya Watanzania, hupendelea kununua ardhi kwa ajili ya matumizi ya ujenzi wa makazi japo watu wamenza kuamka na kusaka ardhi ya kilimo na ufugaji pamoja na majengo ya vitega uchumi....

mtoto aliyerudishwa kutoka china akiwa na maafisa.

17Feb 2018
Beatrice Shayo
Nipashe
Aidha, imeelezwa kuwa maagizo kutoka baba na mama wa mtoto huyo walio gerezani China tangu Januari 19, mwaka huu ni kwamba mtoto huyo akabidhiwe kwa mtu baki, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya malezi...

Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma.

17Feb 2018
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Kocha aahidi kupambana mpaka sekunde ya mwisho nyumbani na ugenini...
Akizungumza na gazeti hili jana, Djuma, alisema katika ligi hakuna mechi rahisi na ndio maana kila timu inaingia uwanjani ikiamini ina uhakika wa kupata ushindi au kugawana pointi.Djuma alisema ligi...

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

16Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alitoa angalizo hilo katika Kata ya Karansi, wakati akimnadi Mgombea wa Jimbo la Siha, kwa tiketi ya Chadema Elvis Mosi, kuwa utawala huo utakuwa...
16Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Nchemba ametoa maagizo hayo akiwa mkoani Kagera wilaya ya Muleba katika kata ya Kasindaga wakati wa uzinduzi wa uandikishaji wa vitambulisho vya Taifa mkoani humo.Waziri Nchemba amelitaka...

Christina Biskasevskaja, akiwa ndani ya gari la polisi.

16Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Christina alikamatwa Agosti 28, 2012 katika Uwanja wa Ndege KIA akijiandaa kuelekea Brussels Ubeligiji na madawa ya kulevya aina ya Heroin na Hydrochloride yenye uzito wa gramu 3775. 26 na thamani ya...

JOHN Macha .

16Feb 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mdogo wake, Yukunda Macha, alisema jana kuwa kaka yake alitoweka Januari 24, mwaka huu Buguruni na kwamba taarifa zake amezifikisha polisi na kufunguliwa jalada namba BUG/RB/663/2018.“Alipandwa...
16Feb 2018
Ismael Mohamed
Nipashe
Hayo yamesemwa na watu wanaoishi na Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Konga ya Mbozi wakati walipotembelewa na Kamati ya Bunge ya Ukimwi ambayo ipo ziarani mkoani humo.Wamesema  kuwa hatua hiyo...

Pages