NDANI YA NIPASHE LEO

Wananchi wa kijiji cha Mkunywa katika Kata ya Madibira wilayani Mbarali, wakiufunika mwili wa mtoto, Jidamabi Lwenge (15), baada ya kuuopoa kutoka katika Mto Lyandembela, Jumatatu Novemba 4, ambamo anadaiwa kutumbukia wakati alipokuwa anafukuzwa na askari wa Jeshi la Polisi, waliomtuhumu kuchungia mifugo kwenye mashamba ya chama cha ushirika wa wakulima wa mpunga Madibira. PICHA: NEBART MSOKWA

07Nov 2019
Nebart Msokwa
Nipashe
Askari hao walikuwa wanamtuhumu kuchungia mifugo kwenye mashamba ya Chama cha Ushirika wa Wakulima wa Mpunga wa Madibila (Mamcos). Wakizungumza na waandishi wa habari kijijini hapo, wananchi hao...
07Nov 2019
Renatha Msungu
Nipashe
Katika kutekeleza hilo, imesema itajenga kituo cha kuchakata dhahabu jijini Dodoma na Geita kwa ajili ya kusafisha dhahabu na kuongeza pato la taifa kutokana na madini hayo. Akizungumza katika...

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, picha mtandao

07Nov 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, aliyasema hayo jana wakati akizungumza na wanahabari na kusema kuwa ‘Kambale’ alijipatia umaarufu wa jina hilo kwa sababu alikuwa...

Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdatus Kakoko, picha mtandao

07Nov 2019
Mary Geofrey
Nipashe
Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdatus Kakoko, aliyasema hayo mwishoni mwa wiki alipotembelea Bandari ya Tanga pamoja na uongozi wa bodi hiyo, kwa lengo la kukagua mradi wa upanuzi wa kina cha...
07Nov 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Washtakiwa hao ni Jema Mbugi, Julieth Daniel, Jeremiah Mafuru, Lucy Wanne, Odillo Benedict, Bibiana Romanus, Bahati Wonnandi, Raphael Waryana, Joseph Mhere na Victor Kilonzo. Wengine ni Moshi...

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbas, picha mtandao

07Nov 2019
Romana Mallya
Nipashe
Baada ya kumwapisha Charles Kichere kuwa CAG jijini Dar es Salaam Jumatatu, Rais John Magufuli alitoa maagizo kwa bosi huyo mpya wa Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, ambayo baadhi ya wachambuzi walidai ni...

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainabu Tellack, akizungumza na wakazi wa Halmashauri ya Mji Kahama, wakati wa kufunga kampeni ya nyumba ni choo, iliyofanyika katika viwanja vya Kata ya Majengo, mjini hapa PICHA: SHABAN NJIA.

07Nov 2019
Shaban Njia
Nipashe
Tozo laki tano, papo kwa hapo
Serikali nchini imekuwa ikitumia zaidi ya Sh. bilioni 400 kutibu magonjwa yanayotokana na watu kukosa vyoo bora. Bado kuna kundi kubwa katika jamii ambalo halina vyoo bora, mjini na vijijini.Fedha...
07Nov 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Hapa jijini Mwanza kuna mlolongo katika barabara zake. Katika Barabara ya Kiloleli, hadi sasa kunakabiliwa na mateso kwa wavukaji kutokana na kasi kubwa ya magari na bodaboda zinazokatiza mahali hapo...

Mtu akifanya mazoezi ya Yoga. PICHA: MTANDAo

07Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kiafya, Yoga manufaa yake inatajwa pia inajumuisha kuuweka mwili kwa usawa. Lakini kama usemi unavyonena duniani ‘kizuri hakikosi kasoro’ sasa inatajwa kuwapo walakini kiafya, pindi mhusika...
07Nov 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Imeelezwa kuwa katika kikao hicho maalum cha dharura, kutakuwa na ajenda hiyo ya taarifa ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji kwa mwaka 2019. Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya...
07Nov 2019
Mhariri
Nipashe
Asasi hizi zinafanya mambo mengi na mazuri, hivyo kuisaidia serikali katika mambo mengine ambayo utekelezaji wake una changamoto. Kimsingi, serikali haiwezi kufanya kila kitu katika kuwaletea...
07Nov 2019
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Ofisa Maendeleo ya Jamii Wilaya ya Monduli, Rose Mhina, alisema kupitia progamu za kuwezesha vijana kwa kushirikiana na mashirika kadhaa, likiwamo YEDI, halmashauri hiyo imevitambua vikundi 42 na...
07Nov 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Amesema ni jambo la kushangaza viongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru wanabaini ufisadi katika miradi ya maendeleo wakati waziri, mkuu wa wilaya na mkurugenzi wanaohusika na mradi huo hawakugundua....

NAIBU Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, picha mtandao

07Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Bashe aliyasema hayo jana bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni (CCM), ambaye alitaka kujua mkakati wa serikali wa kuwalipa wakulima wa pamba madeni yao ambayo...
07Nov 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa jana na Mkurugenzi wa Shamba Samaki, lililoko katika Kata ya Kiwira, Rungwe mkoani Mbeya, Kenny Nyambacha alipozungumza na mwandishi wa habari hii. Alisema ufugaji wa...
07Nov 2019
Grace Mwakalinga
Nipashe
Ombi hilo walilitoa juzi wakati wa kikao na Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ambaye aliwatembelea wakulima hao kwa lengo la kusikiliza matatizo yao ili kuwasaidia. Wakulima hao ambao ni...

Mkurugenzi wa Huduma ya Kinga ya Saratani katika Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dk.Crispian Kahesa, PICHA: YASMINE PRTOTACE.

07Nov 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Hiyo ndio inatajwa inaufanya umma kujenga utamaduni wa kuangalia afya zao kila mara na endapo mtu angundulika kuwa na tatizo, iko wazi kwamba kunahitajika jitihada za matibabu ya haraka, kumsaidia...

Vijana wanaolelewa katika Kituo cha Nyumba Salama, mjini Mugumu, Serengeti, wakifanya mapitio ya baadhi ya kazi zitokanazo na malezi yao. picha mtandao

07Nov 2019
Sabato Kasika
Nipashe
Kilichomkuta, rafiki yake hakisahauliki, Mke mwenye watoto, askari vita ukeketaji
Lakini kwa Robi Samwel ni tofauti kabisa. Yuko wazi na haoni aibu kusema kwamba amefanyiwa ukatili huo, ambao sasa anapingana nao kwa nguvu zake zote ili kuhakikisha unakoma kwenye jamii yake....

Meya wa Manispaa ya Bukoba Chief Kalumunu, picha mtandao

06Nov 2019
Kelvin Innocent
Nipashe
Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake katika mkoa huo na amesisitiza umoja na mshikamano ni kitu cha muhimu. Kalumunu amesema kuwa walipokuwa wakifanya kampeni za...
06Nov 2019
Focas Nicas
Nipashe
Kwanza Tanzania Prisons ambayo itakuwa ikishuka dimbani mara ya 11, itawania kulinda rekodi yake ya kutopoteza mechi msimu huu huku Simba ikitaka kuwa klabu ya kwanza kuivunja kwa kuwatembezea...

Pages