NDANI YA NIPASHE LEO

14Mar 2018
Raphael Kibiriti
Nipashe
Pamoja na kung’ara kisiasa, ameasisi likizo ya mateniti
Mama huyu shujaa wa Chama cha TANU na mwisho CCM ni kinara na mwasisi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT).Sofia alizaliwa Agosti 12, 1936 katika kijiji cha Masonya kilichoko Wilaya ya Tunduru mkoani...

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango.

14Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Akiwasilisha kwa wabunge mapendekezo ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 mjini hapa jana, Dk. Mpango alisema malimbikizo ya madai...

KOCHA wa Yanga, Mzambia George Lwandamina.

14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Apanga kutowapa nafasi Township kumiliki mpira, kushambulia zaidi....
Kikosi cha Yanga kinachodhaminiwa na kampuni ya michezo ya kubashiri ya Sportpesa kikiwa na wachezaji 20 na viongozi 11 wakiwemo saba wa benchi la ufundi walioondoka nchini alfajiri ya jana kuelekea...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli

13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sherehe za uwekaji jiwe la msingi zitafanyika kesho kuanzia saa 3:00 asubuhi katika kijiji cha Ihumwa nje kidogo ya Mji wa Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali na wananchi wa Dodoma....
13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Hassan Nassir Ali, alisema askari huyo, Hafidh Makame Haji (40), akiwa na gari yenye namba 5512 JWTZ O7, alimgonga Shabani Khamis (40), dereva wa pikipiki namba Z 275...
13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza leo Jumanne Machi 13, 2018 kamanda wa kanda hiyo, Lazaro Mambosasa amesema polisi watachukua hatua za kisheria kwa kuwa mwanafunzi huyo amewadanganya watu kuwa ametekwa na...

Mwenyekiti wa kijiji cha Bukima Ndg. Murungu Murungu akiwasaidia wananchi kujaza fomu za maombi ya Vitambulisho vya Taifa wakati zoezi la Usajili.

13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatua hiyo imekamilika kwa kusajili jumla ya watu 718,647 kati ya 763,142 waliotakiwa kusajiliwa kuzingatia takwimu za idadi ya watu wenye umri wa miaka 18 na kuendelea na kufikia asilimia 94 ya...

Vicent Ssenonga akiingia kwenye gari akiwa na binti yake ambaye amemfanya mke wake.

13Mar 2018
MELLANIA JULIUS
Nipashe
Kwa mujibu wa polisi wa kituo cha Buwama chini humo ambako mzee huyo anazuiliwa, wamesema walipata taarifa kutoka kwa wasamaria wema kuwa mzee huyo anamnyanyasa binti yake huyo ambaye amemgeuza mke...
13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Habari kutoka katika vyombo vya habari nchini humo zinadai kwamba Kijana huyo alijitetea kuwa alilazimika kufanya mapenzi na ng'ombe kutokana na ukweli kwamba wasichana wengi wameathirika na...

Abdul Nondo

13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nondo ni Mwanafunzi wa mwaka wa tatu Kitivo cha Sayansi ya Siasa na Utawala Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).Ofisa Uhusiano wa TSNP, Helen Sisya, aliliambia Nipashe jana kuwa, mwishoni mwa wiki...

NAIBU Katibu Mkuu wa Baraza la Vijana la Chadema (Bavicha), Gertrude Ndibalema.

13Mar 2018
Mary Geofrey
Nipashe
Gertrude aliyeshika wadhifa huo tangu mwaka 2014, ametangaza kujiuzulu kupitia taarifa kwa umma, akidai anabaki kuwa mwanachama wa kawaida wa chama kikuu cha upinzani hicho ili kutimiza majukumu yake...
13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanasayansi walioondoa virusi ndani ya jeni za nguruwe 37 hatua ambayo imetegua kitendawili cha pingamizi kuu kupandikisha viungo vya nguruwe kwa binadamu.Kundi hilo la watafiti wa ‘eGenesis;...
13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Chanjo , dawa, kuondoa njaa, ulinzi wa mazingira
Changamoto hizo ni pamoja na ukosefu wa chakula, magonjwa, uchafu wa mazingira na uhaba wa teknolojia. Mafanikio yatatokana na uzalishaji wenye tija kwenye kilimo pamoja sekta karibu zote...
13Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Atafuata miongozo yote ya barabarani kama Ishara, Alama, Michoro ya barabarani yote. Kufuata maelekezo yote ya barabarani yanayotolewa na mabango yote yaliyopo pembezoni mwa barabarani.Mfano, kabla...
13Mar 2018
Barnabas Maro
Nipashe
“Bao la Simba lampa mzuka Nonga: Straika Paul Nonga wa Mwadui FC, amesema bao alilowatungua Simba limempa mzuka kwa kuendelea kupambana zaidi ili kutupia zaidi katika kila mechi iliyopo mbele...

Mwanamke wa Mafanikio 2018 Sista Flora, akipokea tuzo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya East Africa Trade Mark , John Ulanga, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani. PICHA GAUDENSIA MNGUMI

13Mar 2018
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Sista Flora Ndatwa wa Shirika la Mtakatifu Gema ambao hujulikana kama Saint Gemma Galgan’s Sister kutoka Dodoma anayefanyakazi na Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, akiwatunza na kuwahudumia watoto...
13Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar Salaam, Makamu Mwenyekiti wa Runali Cooperative Union Ltd, Hassan Mpako, alisema walipata usajili huo Februari  19, mwaka huu kutoka Ofisi ya Mrajisi wa...
13Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Mfano mmojawapo ni wa hivi karibuni uliochukuliwa dhidi ya waliosababisha ubadhirifu wa fedha, katika moja ya maeneo ya serikali ya mitaa, chanzo kikuu ni matumizi yasiyoeleweka ya fedha za miradi ya...
13Mar 2018
Gurian Adolf
Nipashe
Marufuku hiyo ya Serikali ya Zambia inatokana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu.Baadhi ya wavuvi hao walisema wanakabiliwa na hali ngumu kwa kuwa zaidi ya asilimia 85 ya mauzo yao ya samaki...

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Kangi Lugola.

13Mar 2018
Godfrey Mushi
Nipashe
Akitoa agizo hilo wakati alipotembelea kiwanda hicho kuangalia namna kinavyodhibiti taka zinazozalishwa ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu...

Pages