NDANI YA NIPASHE LEO

14Mar 2018
Romana Mallya
Nipashe
Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), mwanzoni mwa wiki iliyopita aliripotiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuwaaga wanafunzi wenzake kuwa...
14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalielezwa katika taarifa ya Ofisi ya Makamu wa Rais iliyotolewa jana kwa wanahabari, ikimkariri Balozi wa Ufaransa nchini, Frederic Clavier.Taarifa hiyo ilisema Balozi Clavier alibainisha hilo...

rais uhuru kenyatta akipeana mkono na kiongozi wa upinzani nchini kenya raila Odinga walipokutana hivi karibuni.

14Mar 2018
Ani Jozen
Nipashe
Walikutana wiki iliyopita katika Harambee House, ofisini kwa Rais Kenyatta. Mkutano huo uliishia na kutolewa taarifa ya umuhimu wa viongozi hao wawili kufanya kazi ya kuhakikisha umoja wa nchi...

MFANYABIASHARA, Timotheo Wandiba.

14Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Hukumu hiyo ilitolewa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam iliyoketi chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.Awali kesi hiyo ilisikilizwa na mashahidi wa pande zote...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango akionesha mkoba wenye bajeti ya serikali mjini Dodoma ya mwaka 2017/18.

14Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Akiwasilisha bungeni jana mapendekezo ya serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, alisema mfumo wa bajeti...

BENKI KUU TANZANIA

14Mar 2018
Augusta Njoji
Nipashe
Dk. Mpango alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akiwasilisha kwa wabunge mapendekezo ya serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na ya kiwango na ukomo wa bajeti ya serikali kwa mwaka 2018/19 mjini hapa....

Pius Buswita.

14Mar 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mara baada ya mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Stand United juzi kwenye uwanja wa Taifa, Buswita, alisema ushindi wa mabao 3-1 walioupata kwenye mchezo huo umewapa morali ya...

Mkazi wa Musoma mkoani Mara, Enock Sagwa (katikati), akipokea kadi ya bajaji aina ya TVS King, baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni inayoendelea ya 'Jiongeze na M-Pesa, Shinda na Sportpesa' inayoendeshwa na kampuni ya Sportpesa, anayemkabidhi ni mwakilishi wa kampuni hiyo, Happines Wandela (kulia), kushoto ni kaka wa mshindi huyo, Fanuel Sagwa. PICHA: SPORTPESA

14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
kampuni ya Sportpesa kwa kushirikiana na kampuni ya Vodacom, wanaendesha promosheni hiyo ambapo wateja 20 wenye bahati watashinda bajaji hizo aina ya TVS King Deluxe.Akizungumza muda mfupi baada ya...

Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Roderick Lutembeka.

14Mar 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Wito wa Baraza hilo unakuja wiki chache tangu viongozi wa madhehebu mbalimbali na dini wakutane jijini na kutoa ushauri kama huo. Wito huo ulitolewa na Katibu Mkuu wa Baraza hilo, Roderick...

Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo, Joyce Moshi

14Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe
..........inayomkabili Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nchini humo, Joyce Moshi, bado haujakamilika na kwamba umewasilisha maombi ya kisheria nchini, ili kukamilisha uchunguzi huo. Madai hayo...
14Mar 2018
Nathan Mtega
Nipashe
Imeelezwa na wataalamu hao kuwa zao hilo linastawi katika wilaya hiyo kutokana na ardhi pamoja na hali ya hewa.Aidha, wamebainisha kuwa ardhi na hali ya hewa wilayani humo inafanana na ya Wilaya ya...
14Mar 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Kocha msaidizi wa Simba inayodhaminiwa na Kampuni ya Sportpesa, Masoud Djuma, alisema wachezaji wao wanafahamu kazi bado haijaisha na wanaenda Misri kwa lengo moja la kulazimisha ushindi kwenye...
14Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Prof. Lipumba aliachana na nafasi hiyo Agosti 5, 2015 kwa kile alichodai kuwa dhamira yake inamsuta kushirikiana na Edward Lowassa katika uchaguzi wa 2015, hivyo akaamua kukaa pembeni na kubaki...
14Mar 2018
Dege Masoli
Nipashe
Kesi hiyo iliahirishwa tena jana kwa mara ya nne na Mahakama ya Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga.Askari hao wanaotuhumiwa kumuua Makalla, mkazi wa Kijiji cha Kerenge, Kata ya Kerenge, Wilaya ya Korogwe...
14Mar 2018
Mhariri
Nipashe
Kwa kutaja baadhi ya miradi michache kwa mfano, inaelezwa kwamba ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi jijini Tanga utatoa ajira kwa watu 10,000 wakati ujenzi wa reli ya...

ESTER Bulaya

14Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
Licha ya kuzaliwa na kulelewa ndani ya CCM, lakini aliitosa na sasa ni mbunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Pamoja na kuwa kwenye kambi tofauti na CCM anaamini kuwa kila jambo...
14Mar 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Kinachojiri ni mchezo wa kuhama hama vyama kwa sababu wanazozijua na kuzitaja wazi wahamaji husika, na baadaye kuwa na uchaguzi wa marudio kwenye kata na majimbo.Wakati kukiwa na kasi hiyo ya uhamaji...
14Mar 2018
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Vifo hivyo vimesababishwa na mvua kubwa zilizonyesha usiku wa juzi.Katika tukio la kwanza lililotokea Nzuguni Manispaa ya Dodoma, Diwani wa Kata ya Nzuguni, Aloyce Luhega, alisema kuwa katika eneo...

RAIS Xi Jinping.

14Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Bunge la China limeondoa kipengele cha katiba ya nchi hiyo kinachoweka ukomo wa mihula kwa rais, na hivyo kumnyooshea njia Xi Jinping kuweza kuongeza kwa muda usiojulikana. Katika kikao cha...
14Mar 2018
John Ngunge
Nipashe
Jaji Kiongozi wa Mahakama hiyo, Monica Mugenzi, anayesikiliza kesi hiyo namba 2 ya mwaka 2017 akisaidiana na Jaji Dk. Faustin Ntezilyaye na Fakihi Jundu, alitoa muda hadi Aprili 13, walalamikaji wawe...

Pages