NDANI YA NIPASHE LEO

Askofu Josephat Gwajima.

10Feb 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Gwajima ambaye alikuwa amefika kituoni hapo siku moja kabla ya tarehe ya wito, aliondolewa Kituo Kikuu cha Kati saa 10:27 jioni baada ya kupandishwa kwenye gari aina ya Toyota Land Cruiser. Gari...
10Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Tangu alipoapishwa kuchukua hatma za uongozi wa taifa hilo Januari 20 mwaka, akiwa ni Rais wa 45, Trump ameshatoa maelekezo mbalimbali kupitia mamlaka yake, ikiwa ni sehemu ya kutimiza kauli mbiu...
10Feb 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Lakini kwa maombi ya wasomaji wa safu hii na kutokana na hali halisi ya kiuchumi ilivyo kwa hivi sasa, nimeona kuna umuhimu wa kuirejea tena. Hii ni kwa sababu ni moja ya vitu vinavyokwamisha...
10Feb 2017
Denis Maringo
Nipashe
Tanzania, jambo hili limo pia ndani ya Sheria ya makampuni ya mwaka 2002 (Sheria namba 12 ya mwaka 2002). Sura yote ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002 (kupitia vifungu vya 433 hadi 439)...
10Feb 2017
Margaret Malisa
Nipashe
Mbali na majadiliano, pia mgomo ni namna mojawapo ambayo imekuwa ikitumiwa katika kutetea maslahi hayo, ikiaminiwa silaha muhimu. Ni silaha ambayo ina maumivu makubwa kwa mwajiri, kwani...
10Feb 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Wapanga kuibuka kupitia kwa mtaji wa ardhi
Miongoni mwa wanachama na wakulima wa mazao ya biashara watakaoanza kusikitika na kukumbuka mchango wa ushirika nchini, ni pamoja na kutoka chama cha Rift Valley Cooperative Union (RIVACU), ambacho...

MCHEZAJI mkongwe wa zamani wa Liverpool ya England, John Barnes.

10Feb 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Nyota huyo anakuja kwa mwaliko nchini wa benki ya Standard Chartered ambayo Machi 4 mwaka huu inasheherekea miaka 100 tangu ilipoanzishwa mwaka 1917. Mkurugenzi Mtendaji wa benki hiyo, Sanjay...

nahodha wa Azam FC, John Bocco.

10Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kangwa alikosekena kwenye kikosi cha Azam tangu Desemba mwaka jana baada ya kuwa na timu yake ya Zimbabwe kwenye fainali za Afrika (AFCON) zilizofanyika nchini Gabon. Beki huyo jana alianza...
10Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Yajipanga kwa ushindi dhidi ya Ngaya de Mde bila uwepo wa Ngoma, Dante..
Yanga inaondoka nchini kesho kuelekea Comoro tayari kwa mchezo huo wa kwanza hatua ya awali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Akizungumza na Nipashe, Lwandamina alisema kuwa soka la sasa hivi...
10Feb 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Awali, timu hiyo ilipokuwa ikitambulishwa, wabunge wote waliishangilia kwa kugonga meza, lakini hali ilibadilika pale suala la kuichangia lilipofika. Timu hiyo ilifika bungeni mjini Dodoma baada...

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa.

10Feb 2017
John Ngunge
Nipashe
Kuanza kwa mazungumzo hayo kunafuatia kukamilika kwa mazungumzo ya kina aliyofanya na wadau mbalimbali ndani na nje ya nchi hiyo, ambayo yameibua hoja nane zilizowasilishwa kwenye mkutano mkuu wa...

NAIBU Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani.

10Feb 2017
Daniel Mkate
Nipashe
Dk. Kalemani alisema kutokana na uzalishaji huo, bei ya umeme imeshuka kutoka wastani wa Sh. 188.56 kwa uniti mwaka 2014 hadi wastani wa Sh. 125.85 kwa uniti mwaka jana sawa na punguzo la asilimia 33...
10Feb 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Utafiti huo umelenga kubaini iwapo mimea aina ya shubiri ikiwamo alovera, inaweza kutibu magonjwa ya binadamu yasiyoambukiza pamoja na yaenezwayo na virusi. Mkurugenzi Mkuu wa NIMR, Prof. Yunus...

Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), profesa mussa asad.

10Feb 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aliyasema hayo baada ya kutembelea Makao Makuu ya shirika hilo jijini Dar es Salaam jana kwa lengo la kujionea mwenendo wa uendeshaji wake. “Nitamuagiza CAG aje aangalie mwenendo wa ukusanyaji wa...
10Feb 2017
Mhariri
Nipashe
Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imesema imebaini uwapo wa baadhi ya taasisi zenye mikataba mibovu inayohusu uwekezaji na imekuwa ikiisababishia serikali na taasisi hizo hasara kubwa....
10Feb 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Nasema hongera, kwa sababu sijawahi kuwa na ushuhuda kama wa sasa kuhusu dawa za kulevya, watu wakitajwa na kukamatwa hadharani. Tulizoea kusikia orodha ya wauzaji katika hali ya maficho....

Dk. Peter Dalaly Kafumu.

10Feb 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akizungumza juzi alipokuwa akihitimisha hoja ya mjadala wa kujadili taarifa ya kamati hiyo, Dk. Kafumu alisema Rais John Magufuli ikiwezekana amuongezee Naibu Waziri ili kumpunguzia majukumu...

Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

10Feb 2017
Beatrice Shayo
Nipashe
Viongozi hao mbali na kumpongeza Makonda, wamesema vita hivyo vinahitaji ulinzi wa kutosha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa baraza hilo ambaye pia ni...

wema sepetu.

10Feb 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Viunga vya mahakama hiyo jana vilifurika ndugu, jamaa na marafiki wa msanii huyo wakiwa kwenye makundi huku wakijadili hili na lile wakati wakisubiri msanii huyo kufikishwa mahakamani. Saa 5:40...
10Feb 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Lissu ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), alisomewa mashtaka yake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam iliyoketi chini ya Hakimu...

Pages