NDANI YA NIPASHE LEO

tundu lissu.

17Mar 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, mahakama hiyo imesema mlalamikaji, Wakili wa Kujitegemea, Onesmo Mpinzile, hana mamlaka ya kufungua kesi hiyo na kwamba hakuna ushahidi uliothibitisha kuwa ni mwanachama halali wa TLS na...
17Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Kimsingi inaweza ikawa rahisi kuanzisha biashara yoyote, kwani kuna fursa za kutosha za kuanzisha biashara kulingana na mtaji na maarifa aliyonayo mtu ya kufanya biashara. Lakini, ugumu huwa ni...
17Mar 2017
Peter Orwa
Nipashe
Hilo ni moja ya mambo ambayo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inayasimamia, ikijumuisha benki na hata taasisi za fedha zenye mtaji usiopungua Sh. milioni 800 katika kuendesha biashara yake. BoT kupitia...
17Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Naanza kutoka jasho hata kabla sijapata staftahi. Natazama mitaa ya hapa Chake Chake huku nikifikiria wimbo wa Fredy Ndalla Kasheba uliotwa ‘Marashi ya Pemba.’ Joto ninalokabiliana nalo haliakisi...
17Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Nchi hiyo ilinunua kilowati milioni 20.87 kutoka kwa jirani yake huyo, kiwango ambacho ni sawa na mahitaji ya miezi minne ambacho serikali ya Kenya ilikuwa ikiagiza. Ukame ambao umekumba sehemu...
17Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa CBT, Hassan Jarufu, amewaambia Wadau wa Korosho kwamba, inaaza na jumla ya miche milioni 10 itakayosambazwa mwaka huu kwa wakulima wa mikoa mitano inayolima zao hilo kitaifa...
17Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
Ni jambo la kawaida kama ilivyo tofauti kati ya jamii moja na nyingine ama taifa na taifa au taifa na mataifa mengine. Si jambo la ajabu kutokana na asili ya binadamu, kwamba ni vigumu sana kukuta...
17Mar 2017
Jenifer Julius
Nipashe
Miongoni mwa mizigo hiyo husafirishwa kwenda nchi za nje kwa ajili ya matumizi wanayoyafahamu wao. Baadhi yake husafirishwa kwenda kwenye masoko ya kimataifa kama vile Kenya, Uganda, Jamhuri ya...
17Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Imetoa changamoto kwa serikali kulifanya eneo la kuendeleza kilimo katika Ukanda wa Nyanda za Juu (Sagcot) kuwa maalum ukanda wa viwanda kwa mazao ya biashara ili kuchocheo maendeleo na ukuaji wa...
17Mar 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
*Wamo waliohusishwa uswahiba na CUF
Hali hiyo inatokana na kuundwa kwa kamati maalumu ya kufuatilia mwenendo wa kimaadili wa baadhi ya makada wanaotuhumiwa kukiathiri chama hicho wakati wa uchaguzi mkuu uliopita. Jumamosi iliyopita...
17Mar 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Aidha, Kamishna Boaz amesema ofisi yake imetoa taarifa kwa kutumia mfumo wa kiuchunguzi kwa Jeshi la Polisi la Kimataifa (Interpol) kumsaka mwanachama huyo wa Chadema, lakini bado halijapata mrejesho...

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

17Mar 2017
John Ngunge
Nipashe
Aidha, alisema wapo viongozi wanaopenda kutunga sheria wakiwa katika majukwaa ya siasa, hatua ambayo inafanyika kinyume cha sheria. Alisema hayo katika mikutano yake ya hadhara iliyofanyika jijini...

CAG, profesa mussa assad.

17Mar 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa ofisi yake, Naibu Katibu, Khatib Kazungu, alisema ofisi hiyo iwapo itatumia nafasi hiyo vizuri, itasaidia kwa kiasi kikubwa ukusanyaji...

WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Gerson Lwenge.

17Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Lwenge alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya wiki ya maji ambayo yatafikiwa na kilele chake Machi 22, mwaka huu. Alisema miaka ya nyuma kulikuwapo na...

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi.

17Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Balozi Iddi alisema hayo wakati akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Venance Mabeyo, ofisini kwake Vuga Zanzibar alikofika kujitambulisha baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo mwaka...
17Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Akizungumza mjini hapa jana, Rais wa chama hicho, Omar Said Shaban, alisema ZLS haipingi kufanyika kwa operesheni hiyo, lakini inataka ifanyike kwa umakini mkubwa ili kuepusha kuvunja haki za msingi...
17Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Rais wa chama hicho, Omar Said Shaban, alipokuwa akizungumzia msimamo Tanesco wa kutaka kuwakatia umeme wadaiwa sugu ikiwamo Zanzibar kupitia Shirika la Umeme la Zanzibar (...
17Mar 2017
Halfani Chusi
Nipashe
Mjumbe wa Kamati ya Uhamasishaji, Maulid Kitenge, alisema jana kuwa tayari wameshatayarisha midundo ambayo itatumika kwenye nyimbo hizo mpya zitakazotungwa na nyota hao pamoja na wasanii wengine...
17Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Azam wanatarajia kurudiana na wenyeji wao Mbabane Swallows Jumapili saa 9:30 mchana kwa saa za Swaziland ambayo ni sawa na Saa 10:30 kwa saa za Tanzania. Ofisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo, Saad...
17Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Mgosi, alisema kuwa wapo wanaowaza kutwaa tuzo nyingine zinazotolewa katika michuano hiyo lakini kwa Simba inawaza ubingwa tu. "Ndio maana kwetu kila mechi...

Pages