NDANI YA NIPASHE LEO

Meneja wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi.

06Jun 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Simba leo inaumana na timu hiyo ikiwa ni siku ya pili tu tangu kuanza kwa michuano hiyo. Akizungumza Nipashe jana, Meneja wa Simba, Mussa Hassan ‘Mgosi’, alisema kwa sasa kila watakachokuwa...
06Jun 2017
Christina Haule
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe (Utawala na Fedha) Prof. Ernest Kihanga alisema kuwa timu itakayoibuka mshindi kati ya timu za vitivo vilivyoko katika Chuo cha...

MWENYEKITI wa kamati ya usajili ya klabu ya Simba, Zacharia HansPope.

06Jun 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Hivi karibuni kumeibuka taarifa za uongozi wa Simba kufanya mazungumzo na mchezaji huyo kitu ambacho HansPope amekikana. Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, HansPope, alisema kuwa meneja wa...
06Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Kwa kifupi ni hatua ya baadhi ya watu kutumia vibaya uwezo wao au dhamana ya madaraka yao kwa lengo la kujinufaisha binafsi ili kumpumbuza au ‘kumpofusha’ kwa muda mtu ili atimize malengo yao....
06Jun 2017
Mhariri
Nipashe
Fursa hiyo ni ya kuzalisha malighafi hiyo kwa ajili ya kutumiwa na viwanda vitakavyojengwa kuzalisha sukari. Ujenzi wa viwanda hivyo ni utekelezaji wa mradi mkubwa wa kuzalisha sukari kwa lengo la...
06Jun 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Lengo ni kuongeza ari na moyo wa uzalendo unaozingatia uwajibikaji, katika harakati za kujiletea maendeleo bila kuvunja sheria za nchi. Mbali na hayo, msingi mkubwa wa utii wa sheria bila shuruti...

IGP, SIMION SIRRO.

06Jun 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Salum Hamduni amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wengine wawili wanashikiliwa na Jeshi hilo pia. Joshua Benjamin (14) ambaye alikuwa...
06Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli alitoa shukrani Ikulu Jijini Dar es Salaam, alipofanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Ibrahim Al Najem, taarifa ya Ikulu ilisema jana. Baada ya mazungumzo hayo, Rais...

Profesa Godius Kahyarara.

06Jun 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Prof. Kahyarara ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), amesema kumejitokeza watu wanaotaka kukwamisha miradi hiyo kwa njia ya rushwa, kwa kujipanga kudai fedha ya...
06Jun 2017
Hellen Mwango
Nipashe
Nyerere alisomewa maelezo yake jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.   Wakili wa Serikali, Elia Athanas, alidai Oktoba 25, 2015 katika eneo lisilojulikana Dar es Salaam, Nyerere...
06Jun 2017
Rose Jacob
Nipashe
ITV ilimwibua Ngosha aliyedai kuwa ndiye mchoraji wa Nembo ya Taifa akiwa katika mazingira duni Buguruni kwa Malapa, jijini Dar Es Salaam mwezi uliopita, siku chache kabla ya kufariki hospitalini...

Spika Job Ndugai.

06Jun 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Jana Bunge liliazimia kuwafungia kuhudhuria mikutano yake mitatu kuanzia wa Bunge la Bajeti unaoendelea mjini hapa wabunge hao wa Kawe na Bunda Mjini (Chadema) kutokana na kufanya vurugu na kudharau...
06Jun 2017
Charles Ole Ngereza
Nipashe
Mahakama hiyo imezuia zoezi hilo kuendelea baada ya majina ya wabunge wateule kutoka katika taifa mwanachama mpya wa jumuiya hiyo. Walalamikiwa katika hati hiyo ni Mwanasheria Mkuu wa Sudan Kusini...

Kipa wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, akijiandaa kuokoa mpira kutoka kwa mchezaji wa Tusker FC, Wanga Allan, kwenye mechi ya michuano ya Kombe la SportPesa iliyopigwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana. PICHA: HALIMA KAMBI

06Jun 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Dida afikisha nusu fainali, Pluijm na Singida yake chali mapema...
Katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam jana, timu hizo zilimaliza dakika 90 bila kufungana kwenye mchezo huo wa pili. Kutokana na ushindi huo, Yanga na AFC Leopards...
06Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
• Mpangilio wa safari ya mwisho ya Ndesamburo haijapata kutokea, • Gwajima 'aliamsha dude', • Lowassa ashangiliwa kama mechi ya mpira...
Ndesamburo alifariki dunia Jumatano, majira ya saa 4:45 asubuhi kwa maradhi ya moyo, baada ya kufikishwa katika Hospitali ya Rufani ya KCMC akiwa amezimia. Jeneza lenye mwili wa Ndesamburo...
05Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hatu hiyo imekuja baada ya wabunge wa Chadema, Halima Mdee (Kawe) na Ester Bulaya (Bunda) kufungiwa kuhudhilia vikao vyote hadi Bunge la Bajeti 2018/19. Kosa la Bulaya na Mdee ni kuwashawishi...
05Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ndugai alisema alishangazwa kuona askari hao wakimbembeleza Mnyika kutoka nje. "Hawa askari wataendelea kuhamishwa mpaka pale tutakapowapata askari wanaofaa," alisema Ndugai. Katika hatua...

Halima Mdee.

05Jun 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mdee ameandika hayo kwenye ukarasa wake wa Tweet akiwa mjini Moshi kwenye mazishi ya Mzee Ndesamburo na kudai "Tunamsindikiza jemedari wa MAGEUZI MHE PHILEMON NDESAMBURO kwenye nyumba ya milele!...
05Jun 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Leo katika mwendelezo wa ripoti hii, inaelezwa jinsi changamoto hiyo ilivyosababisha athari kwenye utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano. Akiwasilisha...

Rais John Magufuli.

05Jun 2017
Rose Jacob
Nipashe
Akitoa pongezi hizo kwa niaba ya wenzake wakati wakifanya usafi katika maeneo ya soko kuu jijini hapa, Mwenyekiti wa machinga mkoani Mwanza, Said Tembo, alisema, Rais Magufuli anachokifanya kina...

Pages