NDANI YA NIPASHE LEO

Auleliya akitoa mifugo kwenye banda

15Nov 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Tasaf hiyo; aliyetoweka 2008 aonekana, wa 2014 arudi kwa ‘magoti’ ya msamaha, Safari zote zilianzia giliba ‘wee mzigo tu’
Huyo ni mkazi wa kjiji cha Lyamkena katika Halmashauri ya Wanging'ombe, anayesimulia kwamba kabla ya kuingizwa katika mpango huo, maisha yake yalikuwa magumu na hata kukawapo ugomvi usioisha na mume...

Picha halisi ya maisha ya barabarani yanayozaa kilio kutoka kwa madereva na abiria wa boda boda. PICHA mtandao

15Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kila kukicha mpya kibao kila mahali, Neno usalama barabarani kwao ‘sifuri’, Wajipanga ‘chamoto’ matajiri, madereva
NA ANTHONY GERVAS Ili iwe na manufaa, inapaswa kutumika kwa usalama. Hapo ndipo wataalamu wa usalama barabarani wanaitafsiri kwamba: “Ni mwingiliano salama kati ya watumiaji barabara, watembeo kwa...

MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) picha mtandao

15Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, alithibitisha viongozi hao wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kukamatwa majira ya saa 6:30 mchana.Alisema alipata taarifa za kuwapo kwa Lema na...

Jamii ya Nigeria ikifurahia harusi. PICHA: Bbc

15Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ado Sa'id, ni chifu wa kijiji cha Kera, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo, amewataka mabwana harusi kulipa kodi ya kiasi cha dola 377 (sawa na Sh. 878, 400). Hiyo ni mbadala wa utamaduni uliopo wa...

RAIS mstaafu Benjamin Mkapa, picha mtandao

15Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Katika sura ya 10 ya kitabu chake kilichozinduliwa Jumanne na Rais John Magufuli, Mkapa aliyeongoza Tanzania kwa miaka 10 kuanzia mwaka 1995, anaeleza jambo hilo. Mkapa (81), anasema alilazimika...
14Nov 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Ameyasema hayo leo Novemba14,2019 asubuhi bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu kutoka kwa Wabunge.Ndugai amesema kwa mujibu wa utaratibu wa mabunge ya Jumuiya ya Madola...

Mbunge wa Uvinza, Hasna Mwilima

14Nov 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Mwalimu amesema aliitoa kauli ile kwa nia nzuri ya kuliboresha Shirika la Ndege na siyo kuwadhalilisha wanawake.Ametoa kauli hiyo leo bungeni mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu,...

Mbwana Samatta

14Nov 2019
Faustine Feliciane
Nipashe
***Wasema dawa ni Taifa Stars kukimbiza mwanzo mwisho ili kuweza kuibuka na ushindi, lakini...
-kubwa kutokana na wachezaji hao kulelewa katika mataifa yaliyosonga mbele kisoka barani Ulaya.Stars itaikaribisha Equatorial Guinea kesho katika Uwanja wa Taifa kwenye mechi ya kwanza ya hatua ya...
14Nov 2019
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana, Aussems, alisema amekuwa akibadilisha programu za mazoezi kwa nyakati tofauti kutokana na kuhitaji kuona wachezaji wote wanakuwa imara na tayari kupambana kutetea...

Simon Msuva

14Nov 2019
Shufaa Lyimo
Nipashe
Stars itaikaribisha Equatorial Guinea katika mechi hiyo ya kwanza kwao kuwania kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) nchini Cameroon 2021.Akizungumza jana asubuhi na gazeti hili, Msuva alisema...
14Nov 2019
Yasmine Protace
Nipashe
Na mapato hayo yanapopatikana na katumika vizuri, basi ni dhahiri yanatoa matokeo chanya, kwani yanasaidia uboreshaji kwa namna nyingi.Hiyo ndio maana kuna Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ambayo...
14Nov 2019
Focas Nicas
Nipashe
Mashabiki wa soka nchini wamekuwa wakilalamika kwa kitendo cha Manula kutoitwa Stars, huku Mgunda akilaumiwa kwa kauli yake aliyoitoa alipoulizwa kwa nini kipa huyo hakujumushwa katika kikosi hicho....

MBUNGE wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, picha mtandao

14Nov 2019
Salome Kitomari
Nipashe
Aidha, alisema kitabu hicho kimempa majawabu ya baadhi ya mambo ambayo alikuwa akijiuliza wakati ule. Kwa mfano suala la ubinafsishaji wa mashirika ya umma na namna ulivyotekelezwa. Kwa mujibu wa...

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, picha mtandao

14Nov 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Pia imesema imeshaanza kuchukua hatua ya kujenga mfumo wa teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) utakaotumika katika kusimamia mapato yatokanayo na michezo hiyo pamoja na kuratibu mienendo ya...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, picha mtandao

14Nov 2019
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kauli hiyo inakinzana na zile zinazotolewa mara kwa mara na maofisa wa sekta ya mawasiliano kuwa laini zote ambazo hazitasajiliwa kwa alama za vidole na kwa kutumia kitambulisho cha mamlaka ya...
14Nov 2019
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mwenyekiti wa kamati ya wasimamizi wa wanufaika wa Tasaf katika kijiji hicho, David Ngole, alisema mradi huo wa kuchimba barabara uliibuliwa na wanufaika wenyewe baada ya kuona tabu waliyokuwa...
14Nov 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Wakili Dickson Matata, alidai kuwa Profesa Safari na Kibatala wako Mahakama Kuu wana kesi nyingine wanaendesha kwa siku mbili. Matata alitoa madai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas...
14Nov 2019
Hellen Mwango
Nipashe
Aloysius Gonzaga, Magreth Gonzaga. Maombi hayo namba 1/2019 yanatarajia kuanza kusikilizwa mbele ya Jaji Sirilius Matupa, Novemba 26, mwaka huu. Katika maombi hayo, DPP anaomba kutaifisha...

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, picha mtandao

14Nov 2019
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Uamuzi wa chama hicho umeongeza idadi ya vyama vya siasa vya upinzani vilivyofikia uamuzi wa kujitoa kushiriki uchaguzi huo kufikia vinane. Vingine ni ACT-Wazalendo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), George Simbachawene, picha mtandao

14Nov 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pia, amewaonya wamiliki wa viwanda vinavyozalisha mifuko laini ya plastiki kwa kificho na kuiingiza sokoni kwa magendo kuwa watachukuliwa hatua za kisheria. Akizungumza na waandishi wa habari...

Pages