NDANI YA NIPASHE LEO

16Mar 2018
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, ACP Jafari Mohamed, akizungumza na Nipashe jana, alithibitisha kupatikana kwa mwili huo ukiwa unaelea kwenye Mto Barangeti katika Kijiji cha Serengeti, Kata ya...
16Mar 2018
Gurian Adolf
Nipashe
Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) wilayani, Richard Katyega, aliyasema hayo jana mbele ya Kamishna wa TSC, Samuel Korosso na kufafanua kuwa katika kipindi hicho walipokea...

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage mara baada ya kufungua kiwanda cha Sigara cha Mansoor Industries ltd kilichopo chini ya leseni ya Phillip Morris Tanzania katika eneo la Kingolwira mkoani Morogoro. Wa kwanza kushoto ni Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Phillip Morris Tanzania Dagmara Piasecka akipiga makofi, wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt. Steven Kebwe pamoja na Mmiliki wa kiwanda cha Sigara Mansoor Shanif Hirani.

16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rais Magufuli pia amewahakikishia wawekezaji wote wanaojenga viwanda kuwa serikali itaendelea kushirikiana nao kuhakikisha viwanda hivyo vinakuwa na tija, ili wakulima waweze kupata masoko ya uhakika...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknilojia, Dk. Leonard Akwilapo.

16Mar 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknilojia, Dk. Leonard Akwilapo alisema hayo jijini Dar es Salaam jana wakati akifungua mkutano wa washirika na wadau wa mpango huo ambao moja ya malengo...
16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Warsha hiyo ya siku moja ilijadili kanuni za uendeshaji wa biashara na udhibiti wa mapato. Katika mjadala huo, wageni waalikwa ambao ni wateja wa Benki ya Diamond Trust) walipata kujua bidhaa na...

TUNDU LISSU.

16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana mdogo wa mbunge huyo, Vincent Mughwai,  alisema kuwa gharama hizo zitaendelea kuongezeka kwa kuwa bado anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha...

Mbunge Viti Maalum mkoa wa Pwani, Zainab Vullu, akizungumza na kinamama wajasiriamali wa Bagamoyo,katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, hivi karibuni. PICHA: YASMINE PROTACE.

16Mar 2018
Yasmine Protace
Nipashe
Dk. Kawambwa:Viwanda 100 vinakuja kwetu, Zainab Vullu:Kinamama washikwe mkono
Lengo mojawapo ni kufanya shughuli mbalimbali zinazoonyesha shughuli zinazofanywa na wanawake, katika kujikomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa dhidi ya aina zote za uonevu. Kwa mwaka 2018,...

Mkurugenzi Mtendaji wa Wipa, Ludovick Utouh.

16Mar 2018
Salome Kitomari
Nipashe
Aanika mapungufu yake kwa hatua, Malipo, makusanyo, mikataba tatizo
Taasisi ya Uwajibikaji kwa Umma (WIPA), imetoa mapendekezo ya Ripoti ya CAG, kuhusu uwajibikaji wa serikali za mitaa kwa mwaka huo.Kwa mwaka 2015/16, ripoti ya CAG inaonyesha kuwa kati ya Halmashauri...

WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAKAZI, WILLIAM LUKUVI.

16Mar 2018
George Tarimo
Nipashe
Zoezi liliendeshwa na mpango  wa kupunguza njaa na utapiamlo (Feed the Future) , ambapo naibu Mkurugenzi wa LTA , Malaki Msigwa , alisema jumla ya hati miliki za kimila 22,231 zimetolewa kwa...

Jamal Malinzi.

16Mar 2018
Hellen Mwango
Nipashe
Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri.Hakimu Mashauri alisema ni aibu kila tarehe ya kesi inapopangwa upande wa Jamhuri kudai upelelezi bado haujakamilika huku washtakiwa...
16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hadi kufikia mwishoni mwa mwaka juzi, mfumuko wa bei ulikuwa asilimia 5.3 na umeendelea kupungua kufikia asilimia 4.1 mwezi Februari, 2018.Akiba ya fedha za kigeni katika kipindi kinachoishia Desemba...

Waziri wa Viwanda,Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage(katikati)
akitoa maelekezo mara baada ya kukabidhi eneo la hekali 9 kwa mkandarasi SUMA JKT kwa ajili ya ujenzi wa mabanda ya viwanda mkoani Manyara. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SIDO Prof.Sylvester Mpanduji, wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Babati Bw.Raymond Mushi na kushoto ni Meneja wa SIDO mkoa wa Manyara Bw. Abel Mapunda. PICHA: MPIGAPICHA WETU

16Mar 2018
Woinde Shizza
Nipashe
Wananchi hao wameelezwa kutumia uwapo wa Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) ili kupata elimu ya kodi, mafunzo ya teknolojia na mitaji kwa lengo la kuanzisha viwanda vitakavyotengeneza...
16Mar 2018
Elizaberth Zaya
Nipashe
Simulizi maisha ya waaajiriwa wa wafugaji wanavyobahatisha maisha, Pa kulala mtihani...akikwama barazani, kiambaza cha baa
Baada ya hapo kuna mwendo wa nusu saa kufika kijijini, majira ya saa nne na robo asubuhi, ninapopokewa na mwendesha pikipiki, ninayemuomba anipeleke katika nyumba ya kulala wageni.Naye anafanya hivyo...

Mshindi wa promosheni ya Jiongeze na Mpesa, Shinda na SportPesa, Godfrey Saire (aliyekaa kwenye bajaji) mara baada ya kukabidhiwa bajaji yake na Mkurugenzi wa Wilaya ya Tarime Vijijini, Castor Tindwa. PICHA: SPORTPESA

16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...........Shinda na SportPesa inayoendeshwa na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri SportPesa Tanzania wakishirikiana na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom.Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,...

BONDIA Mtanzania, Iddi Mkwera.

16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pambano hilo ni la kuwania mkanda unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi la Kimataifa la IBA na uzito wa Lightweight kilogramu 61.Kocha wa bondia huyo, Rajabu Mhamila 'Super D' alisema jana...

picha ya kuunganisha ya Katibu Mtendaji wa TNBC, Raymond Mbilinyi na rais john magufuli.

16Mar 2018
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Kuna mabadiliko makubwa ya kisera yamefanyika chini ya Rais Magufuli tangu ashike uenyekiti wa TNBC, mfano mkubwa ni kuanza kufanyika shughuli za bandari kwa saa 24. Mizigo...

Mkuu wa msafara wa timu hiyo, Samuel Lukumay.

16Mar 2018
Faustine Feliciane
Nipashe
Mkuu wa msafara wa timu hiyo, Samuel Lukumay, aliliambia Nipashe kutoka Gaborone jana kuwa kikosi cha timu hiyo kimekuwa na hamasa nzuri baada ya kutembelewa na Balozi wa Tanzania, Sylivester...

Mkurugenzi wa Sera kutoka TPSF, Gilead Teri.

16Mar 2018
Romana Mallya
Nipashe
Mkurugenzi wa Sera kutoka TPSF, Gilead Teri alisema jijini jana kuwa mchele ulizuiwa katika masoko hayo kutokana na taarifa kwamba umechanganywa na ule kutoka bara la Asia.Teri aliyasema hayo jana...
16Mar 2018
Sabato Kasika
Nipashe
 Operesheni ilifanyika chini ya aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya, akisema kuwa jeshi lilichukua hatua hiyo, baada ya kupokea malalamiko mengi...

CRDB BENKI.

16Mar 2018
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe iliyotaka kupata ufafanuzi juu ya huduma hiyo jana, Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa CRDB, Tuli Mwambapa, alisema kiwango cha chini cha mikopo hiyo ni Sh....

Pages