NDANI YA NIPASHE LEO

WATALII Ulaya, wakipata maelezo kuhusu historia ya Kituo cha Biashara ya Utumwa, walipotembelea sehemu waliokuwa wakihifadhiwa watumwa kabla ya kusafirishwa nje ya nchi, huko Mkunazini Mjini Zanzibar. (Picha zote na Mwinyi Sadallah).

19Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Ni mabadiliko yaliyoendana na kupanuliwa huduma za utalii, ikiwemo uwekezaji mkubwa wa hoteli za namna tofauti, pia huduma za waongoza watalii wenye viwango. Utalii ni sekta iliyofufua matumaini...

Uwanja wa Nyamagama uliopo Jijini Mwanza ambao ni moja ya viwanja vinavyomilikiwa na CCM

19Feb 2016
Nipashe
Akizungumza mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye alisema tayari chama chake kimeshaandaa utaratibu wa kuanza kukarabati viwanja hivyo ambavyo vingi...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

19Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Waziri Majaliwa alisema hayo juzi katika kikao cha pamoja kilichowahusisha pia viongozi wa vyama vya michezo kilichofanyika juzi kwenye Ukumbi wa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Aliwaambia kuwa...

Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Felchesmi Mramba,

19Feb 2016
Said Hamdani
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Felchesmi Mramba, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa juzi akiwa katika ziara ya siku moja mkoani Mtwara. Ziara ya Mkurugenzi...

Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Irene Bussemaker,

19Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa NMB, Irene Bussemaker, aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kwamba akaunti hiyo inajulikana kama `NMB Pamoja Account'. Bussemaker alisema tayari mpango huo...

Mkurugenzi wa CRDB, Dk. Charles Kimei

19Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi wa CRDB, Dk. Charles Kimei, aliyasema hayo jijini Dar es Salam juzi wakati wa uzinduzi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 20 tangu ilipoanzishwa mwaka 1996.Dk. Kimei alisema benki hiyo...

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi

19Feb 2016
Yasmine Protace
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na kambi hiyo ya Magereza kuwapiga marufuku kulima wala kuyaendeleza maeneo hayo kwa madai kuwa ni wavamizi wa maeneo hayo. Mwenyekiti wa wakulima hao, Yazidu Said, alidai...

Wachezaji wa Simba na Yanga wakipambana katika moja ya mechi za ligi kuu ya Vodacom

19Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Kocha wa Jangwani adai kuwa Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge mwaka jana ulikuwa rahisi kulinganisha na itakavyokuwa mechi ya Simba na Yanga kesho...
Yanga atakuwa mwenyeji wa Simba katika mechi ya marudiano Ligi Kuu Bara kesho kwenye Uwanja wa Taifa. Kinachoifanya mechi hiyo kubeba utabiri mgumu ni viwango vizuri dimbani kwa wachezaji wa timu...

RAIS JAKAYA KIKWETE

19Feb 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza Ikulu jijini, Dar es Salaam jana wakati wa hafla ya shukrani kwa wawakilishi wa makundi mbalimbali ya wanahabari, wasanii, Tehama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaliyoshiriki kampeni za...

YAMOTO BENDI

19Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambao ndiyo wadhamini wakuu wa mbio hizo, Pamela Kikuli, alisema wameichagua bendi hiyo kwani ndiyo moja ya bendi zinazopendwa kwa sasa. “Tuna uhakika...

Baby Madaha

19Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa na wa muziki wa kizazi kipya na filamu Baby Madaha na kufafanua kuwa wakizingatia hilo watafanikiwa. Alisema mafanikio yametokana na kujituma na kuandaa kazi zenye ubora...

MSANII mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Juma Nature

19Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alisema katika maisha yake hawezi kudharau shabiki kwa vile, anatambua nafasi yako katika sanaa ya muziki. "Hao ndio wamenifanya nisishuke kimuziki, ingawa baadhi ya watu wamekuwa wakidai kuwa...

BENDI ya Akudo Impact

19Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Kwa mujibu wa meneja uhusiano wa bendi hiyo, wanenguaji hao ni Queen Suzzy aliyewahi kufanya kazi katika bendi ya Mashujaa Musica na Sabrina Mathew (pichani), ambaye aliwahi kufanya kazi bendi ya...
18Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sambamba na hilo, ameitaka Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kubadilika kiutendaji ili kujiendesha kibiashara badala ya kutegemea serikali. Akizungumza jana na wafanyakazi wa wizara hiyo mjini...

Mkuu wa Wilaya ya Longido, Ernest Kahindi.

18Feb 2016
John Ngunge
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Longido, Ernest Kahindi, alisema kuwa kati ya viwanja vilivyopimwa, 2,230 viligawiwa na kumilikishwa sawa na asilimia 37 pekee ya idadi ya maombi yaliyopokelewa. Alisema viwanja...
18Feb 2016
Mhariri
Nipashe
Imebainika kuwa fedha hizo zimefanyiwa ubadhirifu kwa kutoa mikopo hewa, kulipa waliomaliza vyuo, ambao hawajaomba mikopo huku wengine wakilipwa zaidi ya mara moja. Kutokana na kitendo hicho,...

Mke wa Rais Janeth Magufuli akifuta machozi baada ya kuangua kilio alipokuwa akiwaaga wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi Mbuyuni jijini Dar es Salaam jana.

18Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mama Janeth alisoma katika shule hiyo tangu darasa la kwanza hadi la saba na baadae kuwa mwalimu kwa miaka 18 katika shule hiyo kabla ya mume wake, Rais John Magufuli, kuchaguliwa kuwa Rais wa...

Watoto wachanga waliozaliwa katika mkesha wa Krismas mwaka jana, katika Hospitali ya Rufaa Morogoro.

18Feb 2016
Christina Haule
Nipashe
Kuna usemi wa Kiswahili, ‘hayawi hayawi yamekuwa.’ Wiki iliyopita ilitwaliwa na mjadala wa mitaani na kwenye vyombo vya habari, kutathmini kutumia siku 100 za utawala huo mpya na ahadi za Samia...

Ugali wa dona na mboga ikiwa tayari kwa kuliwa Chakula kikiwa tayari kwa kuliwa. ( [PICHA MTANDAO).

18Feb 2016
Nipashe
Matokeo yake, jiji hilo limegubikwa na chakula kuuzwa katika mazingira machafu, baadhi ya waandaaji wa chakula nao wanakiandaa katika mazingira machafu na yanayohatarisha maisha ya mlaji.Kutokana na...

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Harrison Mwakyembe.

18Feb 2016
Thobias Mwanakatwe
Nipashe
Dk. Mwakyembe aliyasema hayo wakati akijibu malalamiko ya wananchi yaliyojitokeza wakati wa mikutano yake ya kampeni katika ziara yake ya kutembelea wananchi kusikiliza kero zao wilayani Kyela....

Pages