NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji.

21Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Pia imeahidi kuwawezesha wazalishaji na kuboresha ufanisi na tija ili kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi. Hayo yalisemwa jana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, wakati...

Bi. Shakila Said.

21Aug 2016
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa mwanae, Shani, mkongwe huyo aliyejipatia sifa lukuki kutokana na uimbaji wake na sauti yake kali na isiyochuja alifariki muda mfupi tu baada ya kumaliza kuswali. Shani alisema kuwa...

rais dkt John Magufuli.

21Aug 2016
J.M. Kibasso
Nipashe Jumapili
Angepatikana Rais ambaye ni mwepesi wa kukubali yaishe wangesema, huyu naye ni ni mzee ruksa”, angechaguliwa mwenye ulemavu wa miguu ungesikia huyu ni “kiwete”. Rais aliyekamilika wanasema, ni...
21Aug 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Julai 18, mwaka huu, Rais Magufuli aliagiza kuwa vikosi vya ulinzi na usalama, likiwamo Jeshi la Polisi, vinapaswa kusafishwa kwa kuwaondoa watumishi ambao si waaminifu, ambao wanadai kuleta taswira...
21Aug 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Madai yao ni chuki na uhasama wa kisiasa na waathirika wakubwa wanadawa kuwa ni wanachama wa CCM. Lakini kilichojiri juzi kinawalazimisha Wazanzibari kubadilika kwani Jumatatu wiki hii kwenye...
14Aug 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Lengo la mpango huo wa Rais Magufuli ni kuona kuwa chama chake kinanufaika na rasilimali tele zilizotapakaa nchini kote ili mwishowe kiepukane na aibu ya kubembeleza wafadhili ili wapate fedha za...

ALIYEKUWA Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum akifanyiwa mahojiano maalumu na mwandishi wa gazeti la nipashe rahma suleiman visiwani zanzibar.

14Aug 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati akihojiwa na Nipashe juzi, Waziri huyo alisema kilichokuwa kikimkosesha amani zaidi katika sula hilo, ni ukweli kwamba wabunge walichachamaa mno bungeni huku yeye akiwa ndiyo...
14Aug 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Ndio maana sasa wananchi wengi wanafahamu kuwa ili uzalishaji ufanyike kwa matumaini ya kuwa na maendeleo, lazima ulinzi wa maisha na mali zao kwa kiwango kikubwa utegemee ushiriki wao katika Ulinzi...

Kikundi cha vijana cha sarakasi cha J Kombat Group cha Mjimkongwe Zanzibar kikionyesha umahiri wake wakati wa kilele cha maadhimisho siku ya Vijana Duniani .

14Aug 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
“Pamoja na vijana kuanza kunufaika na mlango wa ajira wa nje ya nchi bado serikali inatakiwa kuchukua hatua mbali mbali za kuongeza ajira kupitia sekta za viwanda vidogo na uvuvi wa bahari kuu visiwani hapa.” Hii ni utility.
Kukosa kazi kunaongezeka huku kukiathiri nchi za Afrika kutokana na uzalishaji duni kwenye kilimo na ukosefu wa viwanda. Katika kukabiliana na tatizo hilo Serikali ya Zanzibar imefungua mlango...
14Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mgosi ambaye ameichezea Simba muda mrefu, aliwahi kuiacha timu hiyo na kwenda kucheza soka la kulipwa klabu ya DC Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kabla ya kurejea Simba, Mgosi...

wazee wanashitumiwa kuwa wanashiriki uchawi.

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kati yao 14 waliuawa kwa kuhusishwa na tuhuma za uchawi na imani za kishirikina ambao wengi ni wazee, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Murilo Jumanne, alisema. Akizungumza katika kikao cha...

WAZIRI wa Fedha,Mipango na Uchumi, Philipo Mpango.

14Aug 2016
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Mpango ametoa wito huo mwanzoni mwa wiki iliyopita, alipokuwa akisalimia wananchi waliokuwa wamejitokeza kushiriki maonesho ya wakulima nanenane, ambayo kitaifa yalifanyika Kanda ya Kusini katika...

MAKAMU wa Rais Samia Suluhu.

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Samia alitoa kauli hiyo jana wakati anahitimisha kilele cha sikukuuu ya Wakizimkazi katika kijiji cha Kizimkazi Mkunguni wilaya ya Kusini Unguja Zanzibar ambayo yeye ni mwasisi wa sikukuu hiyo....
14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa upande wa wasichana, timu ya Simba Queens nayo ilifanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kuwafunga Ilala Queens kwa magoli 5-0 katika mtanange mkali uliovuta hisia za watamazaji waliojitokeza...

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Waziri Muhongo alisema hayo jana wilayani hapa akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi ya umeme na kusema Handeni ni moja ya wilaya yenye migodi lakini inakwamishwa na changamoto hivyo kumuagiza mkuu wa...
14Aug 2016
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
Mtafiti wa zao hilo, kutoka taasisi hiyo ya utafiti wa kilimo, Naliendele, Ramadhani Bashiru, ametoa wito huo alipokuwa akizungumza na mwandishi wa gazeti hili, mwanzoni mwa wiki kwenye viwanja vya...

Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Tate Ole-Nasha.

14Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe jana jijini Dar es Salaam, Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo, Tate Ole-Nasha, alisema baada ya Rais Magufuli kutangaza azma ya serikali kuhamia Dodoma, Wizara yao hivi karibuni...

Simon Msuva.

14Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msuva, ambaye amekuwa akitegemewa kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga alisema: “Tuna kazi kubwa msimu ujao kwani tumechoka lakini tuko tayari kupambana. “Wachezaji wengi walipata muda wa kupumzika...

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

14Aug 2016
Hellen Mwango
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, wakati akikabidhi zawadi kwa washindi 12 wa "Shinda na TemboCard". Alisema kupitia kampeni...

Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC), Felix Mosha.

14Aug 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa juzi na Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki (EABC), Felix Mosha, wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kikao cha bodi ya baraza hilo kilichofanyika...

Pages