NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

11Dec 2016
Frank Monyo
Nipashe Jumapili
Aidha hawajawahi kuiona kati ya mwaka 1977, licha ya kudumu kwa miaka 29, wala hawaifahamu. Wakati asilimia 14 inaelezwa kuwa haifahamu kama nchi ina katiba. Akizindua ripoti hiyo jijini Dar...
11Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Magufuli awaumbua, asema atawashughulikia wanasiasa na matepeli wote walioingilia kati.
Mfanyabiashara huyo ametua nchini na kuzugumza na kiongozi huyo wa Tanzania na kusema mradi huo hauna tatizo isipokuwa uliingiliwa na ‘wapiga dili’ ambao ameapa kuwashughulikia. Katika video ya...

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yussuf Masauni

11Dec 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar (ZLSC), alisema zipo baadhi ya asasi zinazopokea fedha kutoka kwa baadhi ya wafadhili...
11Dec 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana katika maadhimisho ya siku ya maadili visiwani hapa, Dk. Shein alisema kuwepo kwa vitendo vya uhujumu wa uchumi na rushwa katika taasisi zinazosimamia ukusanyaji wa mapato na utoaji...
11Dec 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Kwa wenye mahitaji maalumu kutumia huduma za vyoo au usafiri kwa mazingira ya Tanzania kuna usumbufu na kunahatarisha afya na usalama wao. Lakini, mambo yanaanza kubadilika ndani ya mabasi...
11Dec 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Maeneo mengi nchini hasa ya wakulima na wafugaji, yanakumbwa na migogoro ya kuingiliana kwenye ardhi kutokana na kila upande kujiona una haki ya kuendesha shughuli zake katika eneo husika....
11Dec 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Ngozi huzalisha bidhaa nyingi yakiwamo mavazi kama viatu, nguo na mikanda, ambazo kama zingekuwapo zingetumiwa nchini na nyingine kuuzwa nje ili kupatia fedha za kigeni. Lakini, licha ya kuwa...

Azam under 20.

11Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Timu hizo za Dar es Salaam zinakutana katika fainali ya kwanza ya michuano hiyo, inayodhaminiwa na Azam TV baada ya kuwatoa wapinzani wao, Mtibwa Sugar ya Morogoro na Stand United ya Shinyanga juzi...
11Dec 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kupita kwa kipengele hicho ndiyo kutaruhusu mchakato wa kuuza hisa kuanza huku tayari bilionea Mohammed Dewji ‘MO’ akiwa ameshawasilisha ofa ya kutaka kununua hisa asilimia 51 kwa thamani ya Sh....
11Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*** Simba wavutana wakitaka kuikomoa Yanga irejeshe bilioni 1.2/- Caf
Wanachama wa Simba na baadhi ya wadau wametofautiana kuhusu hukumu hiyo, huku wakiitaka klabu yao kutokubali kupokea fedha hizo na badala yake kutumia hukumu hiyo kwenda kuishtaki Yanga Shirikisho la...
11Dec 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
Huo ulikuwa mchezo wa kwanza wa Yanga tangu Lwandamina aanze kazi akirithi mikoba mwezi ya Mholanzi, Hans van der Pluijm ambaye sasa anakuwa Mkurugenzi wa Ufundi. Hadi mapumziko, tayari JKU...
11Dec 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
GAUDENSIA MNGUMI, anayeangazi ujio wa viwanda vya nyama anaeleza… Ongezeko la uzalishaji wa nyama nchini kwa miaka ya hivi karibu limefungua fursa mpya za uwekezaji kwenye machinjio ya kisasa na...
11Dec 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe Jumapili
Wakati Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM) utekelezaji wake ukikamilika mwakani, hali katika wilaya ya Kyela mkoani Mbeya ni duni. Kata moja kati ya 35 ndiyo yenye kituo cha afya…
Mtu anapokuwa na afya njema, anakuwa na nafasi kubwa ya kuzalisha mali na hata kuongeza pato binafsi na la familia kwa ujumla. Tofauti na hivyo, mtu anapokuwa dhaifu kiafya anatumia muda mwingi...
11Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa jana na mwalimu wa vikundi hivyo kata ya Manzese, jijini Dar es Salaam, Wenceslaus Mutatina, alipokuwa akizungumza kwenye semina ya ujasiriamali. Semina hiyo ilihusisha vikundi...

Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Mawasiliano ya Umma, Salim Bimani Abdalla.

11Dec 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kutokana na kukithiri kwa vitendo hivyo, uongozi wa chama hicho umewataka Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, na naibu wake, Hamad Yussuf Masauni, wajiuzulu. Malalamiko hayo...
11Dec 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Rais alitoa msamaha kwa wafungwa hao ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Katika taarifa ya Serikali, ambayo ilitolewa na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,...
11Dec 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Taarifa zilizowahi kutolewa kwa vyombo vya habari na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam mwaka 2014, ilikitaja Kikosi cha Majeshi Maalum (Specil Forces) cha JWTZ kinacholinda...
11Dec 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
*Kaya 95 Dar zasimulia machungu kuishi kwenye vibanda baada ya bomoabomoa
Wakazi hawa nyakati za mvua wanakuwa waathirika wakubwa wa mafuriko na majanga ya Tsunami na Elinino. Wapo wanaoishi kwenye bonde la Mkwajuni Dar es Salaam, nao wanasema tatizo ni umaskini, hadi...

Wakunzi na baadhi ya watumishi wa kada nyingine katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MOCU).

11Dec 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mhadhiri wa Chuo hicho, Damian Sambuo, wakati akizungumza na waandishi kwenye mkutano wa wadau. Alisema lengo la utafiti huo ni kusaidia ushirika kukua...
04Dec 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Adaiwa kupewa notisi aondoke kinguvu ofisini leo
Quality Group inadaiwa kiasi hicho cha fedha kutokana na limbikizo la deni la miaka mingi tangu ipangishwe na mmiliki wa jengo hilo, ambaye ni Mfuko wa Pensheni wa PSPF. Kampuni ya udalali ya Yono...

Pages