NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

17Dec 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Kwa kifupi ni kwamba watu wengi kwa kiwango kikubwa hupata huduma zinatolewa na wamachinga kwa vile wafanyabiashara hawa wameonekana kuwa kiungo muhimu kwa maisha ya Watanzania. Hii ni kwa sababu...
17Dec 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Miongoni mwa wanasiasa waliotangaza kujiengua kwenye vyama hivyo ni pamoja na wabunge Lazaro Nyalandu (Singida Kaskazini-CCM) aliyehamia Chadema, Dk. Godwin Mollel (Siha -Chadema) na Maulid Mtulia (...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kushoto), akimsikiliza mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Handa, Jumanne Sadick, aliyekuwa akielezea tatizo la mipaka linalowakabili kwa muda mrefu.

17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ni baada ya Serikali kufuta faini zote zisizozingatia sheria za nchi
Wafugaji Jerumani Waline, Mabula Mwala, Joel Tahan, Elizabeth Hamisi na Elizabethi Nyambi wa kijiji cha Handa kinachopakana na Hifadhi ya Msitu wa Jamii wa Mgori uliopo kwenye mkoa wa Singida, ni...
17Dec 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Zanzibar Heroes imefika fainali baada ya kuwavua ubingwa Uganda (Cranes) kutokana na kuwachapa mabao 2-1 katika mchezo wa nusu fainali iliyofanyika juzi mjini Kisumu wakati Kenya iliwafunga Burundi...
17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wanapofanya hivyo wanadhani wanakwenda na wakati bila kujua madhara ya matumizi hayo.Utafiti wa kisayansi uliofanywa na wanazuoni mbalimbali pamoja na madaktari, umebaini kuwa simu za kisasa za...
17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Namna mradi wa kuku unavyoweza kuwa grisi kwa ‘vyuma vilivyokaza’
Tanzania inaishi ndani ya sera ambazo husimama kama dira ya kuepeleka nchi katika mafanikio yake. Kama lilivyo taifa, ndivyo ilivyo pia familia. Kwamba, familia yenye maono makubwa haina budi...
17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Mc Pilipili alisema kuwa katika onyesho hilo atatoa ubunifu mpya ambao amejifunza kwenye ziara yake ya nchiniKenya aliyoifanya hivi karibuni.Alisema kuwa katika...
17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe kwa simu jana, Ofisa Uhusiano wa Takukuru Makao Makuu, Mussa Misalaba, alisema wanamshikilia kigogo huyo wa zamani wa CWT kwa tuhuma za kugawa fedha kwa baadhi ya wajumbe wa...
17Dec 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Cranes ilikubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Zanzibar Heroes na kukubali kuvuliwa ubingwa wa michuano hiyo ambao walikuwa wanaushikilia.Basena alisema kuwa safu yake ya ulinzi haikucheza vizuri...
17Dec 2017
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa na Mtandao wa  asasi zisizo za kiserikali wa  Northern Coalition wa mashirika ya ukanda wa kaskazini na kuwakumbusha wajibu wa taasisi hizo kuwa ni  kutetea jamii na...
17Dec 2017
Mohab Dominick
Nipashe Jumapili
Mradi wa REA awamu ya tatu mzunguko wa kwanza katika Wilaya ya Kahama utanufaisha wateja wa Halmashauri ya Ushetu ambako vijiji 50 vinatarajia kuonja mafanikio.Meneja wa Shirika la Umeme (Tanesco)...
17Dec 2017
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Akitoa maagizo hayo Waziri Mkuchika , akiwa mkoani Tabora katika ziara ya kukagua miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) kata ya Mtendeni ili kuhakikisha walengwa wamefikiwa ipasavyo , alisema...

Polisi wa Dawati la Jinsia wakishiriki kupinga ukatili wa kijinsia. PICHA MTANDAO.

17Dec 2017
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Ngoma za vigodoro zatajwa mabinti miaka 10 huchezwa, , wazazi hupuuza  kutoa taarifa jukumu labaki kwa walimu
Kunahusisha matendo ya ubakaji, kutukana, kukatazwa kufanyakazi, kurithi mali, kusoma  na kuondolewa viungo kama kukeketwa hata hivyo tafiti nyingi zinaonyesha kwamba wanawake ndiyo waathirika...
17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tofauti na tuhuma za kuwapo kwa ushawishi zawadi kama fedha ambazo zimekuwa zikipata nafasi zaidi katika mijadala mbalimbali ya kisiasa, hasa kwenye mitandao ya kijamii, Zitto ameibuka na mpaya...
17Dec 2017
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Maji ya kunywa shida hadi misimu ya  mvua
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kijiji, Amri Ally, tangu kuanzishwa kwa kijiji hicho mwaka 1975 kikiwa na wakazi 931 na kaya 215, changamoto kubwa ni usafiri. Aidha hakina zahanati wala maji safi na...
17Dec 2017
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Yamtema rasmi Mavugo, yawavuta Kwasi, Domingues Mghana…
Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo inaeleza, Mavugo tayari amepewa taarifa ya kutemwa kwake na nafasi yake inatarajiwa kuzibwa na mshambuliaji raia wa Msumbiji Antonio Domingues.Aidha, Simba...
17Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Aidha, wengine ambao siku zao zinahesabika kabla ya kufikishwa kwenye mkono wa sheria ni pamoja na wahusika wa matukio ya kihalifu ambao hadi sasa uchunguzi wao unaendelea. Katika uchunguzi wake,...
10Dec 2017
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Akisoma hukumu hiyo juzi, Hakimu Mkazi Mfawidhi wa  Mahakama ya Wilaya ya Mpanda, Chiganga Ntengwa  alisema mahakama yake imeridhishwa na ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka...

KOCHA wa makipa wa timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi), Thomas Higiro

10Dec 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kumpa kazi ya kuwanoa magolikipa na kuahidi zitafanya vizuri katika Ligi Kuu Tanzania Bara na mashindano ya kimataifa watakayoshiriki mwakani.Akizungumza na gazeti hili jana mjini hapa, Higiro,...

Kocha Mkuu wa Uganda, Moses Basena.

10Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kocha Mkuu wa Uganda, Moses Basena, amesema lengo lao ni kuhakikisha wanatinga fainai na kutetea ubingwa wa Kombe la Chalenji wanaoushikilia.Uganda wamefikisha pointi nne sawa na Burundi, lakini...

Pages