NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

NAHODHA wa timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars), Mbwana Samatta.

26Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Samatta alisema kuwa hali hiyo itawasaidia wachezaji kuhimili na kumudu ushindani kutokana na kurejea nyumbani wakiwa na mbinu za ziada. Mshambuliaji huyo alieleza kuwa hakuna nchi inayoweza...

NAIBU Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Hamis Kigwangalla.

26Mar 2017
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili
Amesema kutokana na kazi wanazofanya ikiwamo kupokea malalamiko ya watu waliofanyiwa ukatili wa kijinsia, watumishi wa kada hiyo wanatakiwa kuwa katika faragha ili kutunza siri za waathirika wa...

Waziri wa Nishati na madini, Profesa Sospeter Muhongo.

26Mar 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe Jumapili
Waziri wa Nishati na madini, Profesa Sospeter Muhongo, alisema hayo wakati wa uzinduzi wa mradi kabambe wa kusambaza umeme katika mkoa wa Singida uliofanyika katika Kijiji cha Mkwese, wilayani...
26Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Washambuliaji hao ni Donald Ngoma na Amissi Tambwe ambao bado ni majeruhi. Akizungumza na gazeti hili jana, Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, alisema Ngoma na Tambwe bado hawajapona na kwa...

waziri wa elimu profesa joyce ndalichako.

26Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Sambamba na sababu hizo, imeelezwa kuwa kukosekana kwa sera kumesababisha kila kiongozi anayeteuliwa kusimamia elimu kufanya mabadiliko na matokeo yake kuifanya sekta kuyumba na kukosa mwelekeo....
26Mar 2017
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili
Hivi karibuni wananchi hao walielezwa kuwa watanufaika na mradi wa maji safi na salama utakaogharimu Sh. milioni 157.6 na kwamba watalipia gharama kidogo katika kuunganishiwa. Kwa mujibu wa...
26Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
***Atupia mawili kifundi wakishinda 2-0, Nape ageuka kivutio kwa mashabiki Taifa baada ya…
Nahodha huyo wa Stars alionyesha kuwa habahatishi kuifungia klabu yake ya Genk katika Ligi Kuu Ubelgiji na kwenye Europa League kutokana na namna alivyotumia nafasi alizopata katika kikosi cha Taifa...

MWENYEKITI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Anna Mghwira.

26Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mghwira aliyasema hayo katika kilele cha kudhimisha miaka 50 ya Azimio la Arusha yaliyofanyikia mkoani Arusha na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa. Maadhimisho hayo yaliongozwa...
26Mar 2017
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Mmoja wa wabunge waliokumbwa na suala hilo ni Stephen Ngonyani wa Korogwe Vijijini (CCM) ambaye amekuwa akiulizwa kila anapofanya ziara jimboni na kwenye mikutano ya hadhara. Ngonyani, maarufu...

heroin.

19Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Kamishina Mkazi wa tume hiyo, Mohamed Khamis Hamad, alipokuwa akizungumzia vita dhidi ya dawa za kulevya visiwani Zanzibar. Alisema sigara, 'unga' na bangi zinawafikia...
19Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa na Kaimu Mwenyekiti wa Chama hicho, Peter Magwira, alipokuwa akizungumzia hatua ya Tanesco kutoa muda wa siku 14 kwa wadaiwa sugu ikiwa Zeco kulipa madeni yao kabla ya kukatiwa...
19Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Operesheni ya kuwasaka watu wanaofanya biashara ya ukahaba na kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ilifanyika juzi na kuongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Ayoub Mohamed Mahmoud,...
19Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tukio hilo lilifanyika juzi likiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Robert Gabriel, ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na Usalama wilayani humo. Kwa mujibu wa mkuu huyo wa wilaya, taarifa...
19Mar 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Ushauri wa awali aliopewa ulikuwa akamuulize daktari wake, lakini pia kumtumia anuani za mitandao akajisomee mwenyewe. Kwa kuwa pengine ni suala linalowahusu wanawake wengi , inaelezwa kuwa hakuna...
19Mar 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Uamuzi huo ulitangazwa na Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Gerson Lwenge, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya wiki ya maji ambayo yatafikiwa kilele chake wiki hii, Jumatano...
19Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Wana CCM wamejifunga mikanda na matangazo ya kujiokoa endapo ajali itatokea yanaanza kutolewa. Hapa matairi ya ndege yamekanyaga mstari tayari kupasha moto injini ikizunguka kwenye njia yake mara...
19Mar 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Alifika ofisini kwangu binti mmoja aitwaye Neema Adrian, mwanafunzi wa uandishi wa habari kwenye chuo kimoja jijini Dar-es-Salaam. Binti huyo alifika kwangu kupata huduma inayotolewa na taasisi...
19Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kila Wizara italielezea ilivyotekeleza miradi ya maendeleo kwenye fedha zilizotengwa na bajeti pamoja na majukumu mbalimbali ambayo yalijitokeza katika mwaka wa fedha unaomalizika Juni 30. Aidha...
19Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Kuungana na Azam kama ikifuzu Swaziland leo, Msuva ‘apeperusha’ bao baada ya...
Yanga imeaga michuano hiyo baada ya jana kulazimishwa sare ya bila kufungana na wenyeji Zanaco katika mechi iliyokuwa na upinzani kuanzia dakika ya kwanza mpaka filimbi ya mwisho. Hata hivyo,...

Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog.

19Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
Kocha Mkuu wa Simba, Joseph Omog, alisema jana kuwa maandalizi ya mechi hiyo yamekamilika na wachezaji wake wako tayari kwa 'jukumu' moja la kusaka ushindi. Omog alisema wanahitaji kusonga mbele...

Pages