MAKALA »

Kuna usemi kuwa jasiri haachi asili, hivi kusahau upawa, kata na vyungu vya jadi si kudharau na kuacha asili ya Mtanzania. Vifaa kama hivi jikoni au sebuleni kwako pamoja na kutumika kupikia pia ni urembo.

14Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

ZAMA hizi ukiingia jikoni kwa mama au binti Mtanzania au Mbongo unaweza ushindwe kutofautisha kati ya jiko lake na  la raia wa kigeni.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Issack Kamwelwe (wa pili kulia), akinyanyua cheti kuashiria uzinduzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk Agnes Kijazi.

14Sep 2019
Faustine Feliciane
Nipashe

MIAKA ya karibuni mabadiliko ya tabianchi yamekuwa  kitisho kipya cha mazingira kinachokabili...

Akitoa mafunzo ya ujasiriamali kwa wahitaji wake.

13Sep 2019
Renatha Msungu
Nipashe

KINAMAMA wa mjini Dodoma sasa wako juu na salama kiuchumi, wakajiunga na miradi mbalimbali ya...

13Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

DUNIANI kwa sasa suala la mawasiliano linapewa kipaumbele, kutokana na mchango wake katika...

13Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

UNAPOTAJA msamiati Machinga, kwa wakazi mikoa ya Lindi na Mtwara, wanaanza kwa maana ya kabila,...

13Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

MWISHONI mwa mwezi uliopita, Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi, ilifunga kampeni ya 'Wiki ya...

12Sep 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO), limesema karibu wastani wa watu 800,000 hujiua kila mwaka duniani...

12Sep 2019
Sabato Kasika
Nipashe

KATIKA kuhakikisha changamoto za afya zinaendelea kupatiwa ufumbuzi Wilaya ya Nachingwea,...

Pages