NDANI YA LETE RAHA LEO

Salum Mayanga

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC). Akizungumza na Lete Raha mwishoni mwa wiki, Mayanga aliyerejea Mtibwa Sugar mwezi uliopita baada ya mwaka mmoja tangu aondoke, alisema...
10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Katibu wa TFF, Selestine Mwesigwa, aliwaambia wanahabari juzi kuwa, klabu zote ambazo hakuzituma usajili wake, zinatakiwa kuandaa utetezi utakaokwenda TFF ambao utatumwa Shirikisho la Soka duniani (...

Mbwana Samata

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Samata aliyeingia dakika ya 66 Uwanja wa Ghelamco-Arena mjini Gent kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis, anatarajiwa kuiongoza timu yake katika mchezo mwingine wa Ligi ya Ubelgiji Jumamosi wiki...

Kevin Yondan

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Yondan aliumia wiki mbili zilizopita katika mchezo wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Medeama nchini Ghana wakati Yanga ikilala 3-1. Hata hivyo, baada ya kukosa mchezo wa kirafiki...

Laudit Mavugo

10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mavugo alisema amefurahia mwanzo mzuri katika timu hiyo yenye makazi yake mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam. “Nimefurahi, nimekuwa na mwanzo mzuri katika timu, nimetokea benchi...
10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akizungumza na Lete Raha jana jijini Dar es Salaam, Kifukwe alisema baada ya mkutano wa Jumamosi, alimwambia mfanyabiashara anayetaka kuikodisha timu kwa miaka 10, awasilishe maombi yake kwa...
10Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Simba ilisherehekea vyema kutimiza miaka 80 Jumatatu kwa kucheza mchezo wa kirafiki na AFC Leopard na kuibuka na ushindi huo ambao umeleta faraja kwa timu hiyo kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu Agosti 20...

linah sanga.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Alisema kuwa alishapita katika lebo zaidi ya tatu na kushuhudia changamoto zake, hivyo hataki tena kufanya makosa kwa sababu hapendi kuhamahama ndiyo maana anahitaji lebo ambayo atakubaliana nayo kwa...

kundi la Yamoto Band.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Akipiga stori na Bongo Fleva, meneja wa kundi hilo, Chambuso alisema kuwa Yamoto wametajwa kuwania tuzo hizo kama kundi bora la muziki kutoka Afrika wakipambana na makundi mengine kutoka Kenya,...

shilole.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Shilole alisema na safu hii juzi kwamba, hana sababu ya kuifagilia kazi hiyo bali anawachia mashabiki wake 'waijaji' ikitoka kwa kuwa shuguli inayofanywa na Man Fongo kwa sasa wengi wanaifahamu huku...

kipre tchetche.

03Aug 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Si mwingine ila ni Kipre Tchecthe, mchezaji wa Azam FC, anayecheza kama winga wa kulia na wakati mwingine straika. Wanachama wa Simba walimiminika kwa wingi kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi,...
03Aug 2016
Mhariri
Lete Raha
Pia alipanga kuifanya Simba kuwa na bajeti ya Sh. bilioni 5.5 kila msimu kwa ajili ya klabu hiyo, ili kuwapiku wapinzani Azam na Yanga. Katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Simba uliofanyika Jumapili...

MSHAMBULIAJI Ibrahim Ajibu.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Mshindi huyo wa tuzo ya Bao Bora la Msimu uliopita wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, juzi aliifungia Simba mabao mawili wakati ikiilaza 5-0 dhidi ya Burkina Fasso ya Morogoro katika mchezo wa...

Mrisho Ngassa.

03Aug 2016
Mahmoud Zubeiry
Lete Raha
Free State Stars ilifikia makubaliano ya kuwauzia timu Moroka Swallows ya Johannesburg, lakini Bodi ya Ligi ya PSL inadaiwa kuzuia mpango huo baada ya baadhi ya taratibu kutokamilishwa....

thomas ulimwengu

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Ulimwengu, mchezaji wa zamani wa Moro United, aliukosa mchezo uliopita wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Julai 27, mwaka huu wakati TP Mazembe ikishinda 1-0 dhidi ya Mouloudia Olympique Bejaia ya...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Chaima alisimama kwenye lango la Mbeya City kwa mara ya kwanza mwishoni mwa wiki katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar na kudaka kwa umahiri mkubwa, licha ya kuruhusu mabao mawili timu yake...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Genk inahitaji sare yoyote kesho kwenye Uwanja wa Turner's Cross, mjini Cork, Ireland baada ya Alhamisi iliyopita kushinda 1-0 nyumbani. Pamoja na ugumu uliopo mbele yao, Samata alisema: “Lakini...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
MO alitoa hundi hiyo ofisini kwake, jijini Dar es Salaam, akisema anatimiza ahadi yake ya kusaidia usajili baada ya wanachama kukubali mabadiliko ya kuigeuza klabu kuwa kampuni ya hisa.Aveva...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Lete Raha
Waitisha Mkutano wa dharura
Yanga inaitisha mkutano huo siku mbili tu baada ya wapinzani, Simba kuamua kuingia katika mfumo wa kuuza hisa kufuatia mkutano wao wa Jumapili hapo hapo, Bwalo la Maofisa wa Polisi kuridhia uamuzi...

dida

31Jul 2016
Adam Fungamwango
Lete Raha
Dida alionyesha ushujaa huo katika dakika ya 10 tu ya mchezo wakati Yanga ikiwa imeshapigwa bao 1-0 kwenye mechi iliyochezwa nchini Ghana. Aliruka na kupangua shuti lililopigwa na Malik Akouwak,...

Pages