Utabiri wa Godbless Lema kwa Kakobe, majibu ya TRA

31Dec 2017
Gerald Kitalima
Nipashe Jumapili
Utabiri wa Godbless Lema kwa Kakobe, majibu ya TRA

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema amefunguka na kutoa utabiri wake wa majibu ambayo Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakaria Kakobe atawapa Mamlaka ya Mapato (TRA) kuhusu mali na utajiri wake.

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

Habari Kubwa