Mtandao wa kijamii wafungwa

17Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mtandao wa kijamii wafungwa

Wizara ya mawasialiano na teknolojia nchini Indonesia ilifunga huduma za Telegram Ijumaa iliyopita na kutishia kufunga mifumo yake yote.

Kufuatia hali hiyo mtandao huo wa kutuma ujumbe kwa njia ya simu umeahidi utafunga akaunti zinazohusiana na ugaidi.

  

Mwanzilishi wa mtandao huo Pavel Durov

Mwanzilishi wa mtandao huo Pavel Durov amesema ameghadhabishwa na hatua hiyo na kuamua kuondoa akaunti zote zinazohusika na ugaidi zilizotajwa na serikali. Indonesia inadai kuwa Telegram imetumiwa kuunga mkono itikadi kali na kutoa maelekezo ya kufanya mashambulizi.

Chanzo: BBC

Habari Kubwa