MAONI YA MHARIRI »

14Aug 2019
Nipashe

POLE tena Watanzania wenzetu mliojeruhiwa na wote mlipoteza wapendwa wenu katika ajali ya gari la mafuta lililowaka moto hivi karibuni mkoani...

13Aug 2019
Nipashe

MKUTANO wa 39 wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)unafanyika nchini  ambapo tunatarajia viongozi wakuu 16 wa nchi na...

12Aug 2019
Nipashe

MWISHONI mwa wiki wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kimataifa, Simba, Yanga na KMC walilazimishwa sare katika mechi zao za awali kwenye...

10Aug 2019
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania Bara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika, Simba, Yanga, Azam na KMC leo na kesho watashuka...

09Aug 2019
Nipashe

NANENANE ilihitimishwa jana, lakini jukumu la kuendeleza kilimo, ufugaji na uvuvi ndiyo kwanza linaanza.

08Aug 2019
Nipashe

KILA mwaka Agosti 8, ni Maadhimisho ya Nanenane au Siku ya Wakulima ambayo pamoja na wiki nzima ya maonyesho ya Nanenane yanayofanyika kwa...

07Aug 2019
Nipashe

SUALA la uzazi wa mpango ni ajenda ya dunia, sababu mojawapo ikiwa ni kupunguza mzigo wa umaskini na makali ya maisha kwa familia nyingi.

06Aug 2019
Nipashe

TAARIFA kwamba Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inakusudia kufanya sensa ya kilimo, uvuvi na ufugaji nchini ili kupata matokeo ya mchango wa sekta...

05Aug 2019
Nipashe

ZIBAKI siku 18 kabla ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuanza rasmi, ligi hiyo ikitarajiwa kushirikisha timu 20 kama ilivyokuwa msimu...

03Aug 2019
Nipashe

KESHO Taifa Stars itashuka uwanjani ugenini nchini Kenya kuivaa timu ya Taifa hilo, Harambee Stars, kwenye mechi ya marudiano ya kuwania kufuzu...

Pages