MAONI YA MHARIRI »

27Aug 2019
Nipashe

KILA la kheri Tanzania na Burundi kwa kuafikiana kurejesha wakimbizi 2,000 kila wiki nchini kwao kuanzia Oktoba mwaka huu, jambo ambalo...

26Aug 2019
Nipashe

JUZI, Jumamosi pazia la Ligi Kuu Bara lilifunguliwa rasmi kwa kuchezwa mechi tano katika viwanja tofauti nchini huku timu tatu kati ya hizo...

24Aug 2019
Nipashe

WAWAKILISHI wa Tanzania Bara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba na Yanga, leo na kesho watashuka katika viwanja tofauti barani...

23Aug 2019
Nipashe

TUME ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) imewataka wananchi kuchukua tahadhari ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutokana na watu...

22Aug 2019
Nipashe

KIASI muda unavyosonga watu wanaendelea kusahau yaliyotokea Morogoro kwenye ajali ya tangi la mafuta lililolipuka na kuua watu takribani 100 huko...

21Aug 2019
Nipashe

HALMASHAURI ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wiki hii  imeeleza nia yake kuwa haitakuwa tayari kuona watoto wadogo wakishinda pamoja na...

20Aug 2019
Nipashe

SERIKALI imetangaza orodha ya asasi za kiraia (NGO), zilizofutwa kutoka kwenye dafari la usajili kutokana na mabadiliko ya kisheria. Asasi hizo...

19Aug 2019
Nipashe

JUMAMOSI wiki hii Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/20, utaanza rasmi baada ya mwishoni mwa wiki Simba na Azam kucheza mechi ya Ngao ya Jamii ambayo ni...

17Aug 2019
Nipashe

TUNAIPONGEZA Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa jitihada nyingi zinazofanyika kuhakikisha kuwa ukanda huu wa kusini mwa Afrika...

15Aug 2019
Nipashe

MABALOZI 42 wa Tanzania katika nchi mbalimbali wamewasili kwa ajili ya kushuhudia Rais John Magufuli anavyokabidhiwa Uenyekiti wa Jumuiya ya...

Pages