MAONI YA MHARIRI »

06Dec 2016
Nipashe

RAIS John Magufuli amefanya uteuzi wa mabalozi 21, wateule wakiwa 15, kujaza nafasi zilizowazi katika Balozi za Tanzania zilizopo katika nchi...

05Dec 2016
Nipashe

HAKUNA ubishi kuwa maendeleo ya soka katika nchi yoyote yanajengwa kupitia vijana wenye umri mdogo, ambao wanapewa misingi yote ya soka ili kuja...

04Dec 2016
Nipashe Jumapili

MIONGONI mwa taarifa zilizosambaa jana kwenye tovuti na mitandao mbalimbali ni pamoja na sakata la kusimama uzalishaji kwa Kiwanda cha saruji cha...

03Dec 2016
Nipashe

MKUTANO Mkuu maalumu wa wanachama wa Simba SC ulioitishwa Desemba 11 upo kwenye hatihati kufanyika, kufuatia tamko la Baraza la Wadhamini la...

02Dec 2016
Nipashe

JANA dunia iliadhimisha siku ya Ukimwi, huku ikielezwa kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa nchini zimesaidia kuleta mafanikio katika kupunguza...

01Dec 2016
Nipashe

MOJA ya mambo yanayotajwa kuwa yanachangia kuathiri uboreshaji wa kiwango cha elimu nchini ni kutokuwapo kwa Baraza la Elimu.

30Nov 2016
Nipashe

KUNA taarifa za kutisha kwamba maambukizi ya virusi vya homa ya ini (Hepatitis B) kitaifa, ni makubwa kuzidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU).

29Nov 2016
Nipashe

KUNA taarifa kwamba kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo mkoani Mtwara, kimesitisha uzalishaji kutokana na kuelemewa na gharama za uendeshaji...

27Nov 2016
Nipashe Jumapili

TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ilizinduliwa Septemba 5, mwaka jana na Rais wa Nne mwenye...

26Nov 2016
Nipashe

BAADA ya ligi kuu Tanzania bara kusimama hivi karibuni kupisha kipindi cha dirisha dogo la usajili pamoja na majukumu ya timu za taifa, ipo...

Pages