MAONI YA MHARIRI »

28Dec 2017
Nipashe

KUKATIKA ovyo kwa umeme kumekuwa kukilalamikiwa sana na wananchi mkoani Mtwara kwamba kunawakwamisha kufanya shughuli zao za maendeleo.

27Dec 2017
Nipashe

VITENDO vya upandishaji holela wa nauli za mabasi ya mikoani vimeendelea kusababisha kero, taabu na usumbufu mkubwa kwa abiria katika kipindi cha...

26Dec 2017
Nipashe

JUZI wakati wa ibada ya mkesha wa Krismasi na mahubiri ya jana ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo takribani miaka 2000...

25Dec 2017
Nipashe

VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara na waliokuwa mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho, Simba, juzi ilitolewa katika mbio zake za kutetea ubingwa...

24Dec 2017
Nipashe Jumapili

MKOA wa Kigoma juzi ulikumbwa na simanzi na majonzi kutokana na vifo vya watu wanne kutokana na boti ndogo ya MV Pasaka iliyokuwa imebeba...

23Dec 2017
Nipashe

TIMU ya Taifa Zanzibar juzi iliandaliwa hafla ya pongezi na Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya fainali na...

22Dec 2017
Nipashe

KUNA taarifa za kutisha ambazo hata hivyo, zimethibitishwa na serikali kwamba watoto 10,000 huzaliwa kila mwaka wakiwa na maambukizi ya Virusi vya...

21Dec 2017
Nipashe

ZIKIWA zimebaki siku nne kabla ya kusherehekea sikukuu ya Krismasi na baadaye Mwaka Mpya, kuna malalamiko kuwa baadhi ya mabasi yanayofanya safari...

20Dec 2017
Nipashe

MIMBA kwa wanafunzi ni moja ya changamoto kubwa ambayo imekuwa ikikwaza wasichana katika maendeleo yao.

19Dec 2017
Nipashe

KUNA matumaini makubwa ya uwezekano wa kupatikana kwa ajira zaidi nchini, kufuatia mpango wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) kuwekeza...

Pages