MAONI YA MHARIRI »

17Jan 2018
Nipashe

SUALA la udhibiti wa mwendokasi barabarani ni moja ya hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa na Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi....

16Jan 2018
Nipashe

MARAIS John Magufuli na Paul Kagame wa Rwanda juzi walikubaliana kushirikiana katika mambo matano muhimu, ikiwamo kushirikiana katika ujenzi wa...

15Jan 2018
Nipashe

MASHINDANO ya Kombe la Mapinduzi kuadhimisha miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yalimalizika Jumamosi iliyopita visiwani Zanzibar na kombe kubaki...

14Jan 2018
Nipashe Jumapili

SHULE binafsi nchini zimetoa mchango mkubwa katika jitihada za kuboresha kiwango cha elimu ambacho kwa muda mrefu kimekuwa kikilalamikiwa...

13Jan 2018
Nipashe

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi inamalizika leo kwa mechi ya fainali kupigwa kwenye Uwanja wa Amaan,  Zanzibar ikizikutanisha Azam FC na URA ya...

12Jan 2018
Nipashe

AGIZO lililotolewa na Rais John Magufuli, la kutaka kusambazwa haraka kwa mbolea kwa wakulima katia mikoa yenye upungufu ifikapo leo, limeacha...

11Jan 2018
Nipashe

AJENDA ya Serikali ya kuiingiza Tanzania katika uchumi wa kati kupitia ujenzi wa viwanda, pamoja na mambo mengine itafikiwa ikiwa utakuwapo...

10Jan 2018
Nipashe

JUZI wakazi wa Jiji la Dar es Salaam walishuhudia mvua kubwa iliyosababisha athari kadhaa yakiwamo mafuriko.

09Jan 2018
Nipashe

SEKTA ya uvuvi na mifugo licha ya umuhimu na thamani yake katika uchumi wa nchi, kwa miaka mingi imekosa kuliingizia Taifa letu mapato stahiki...

08Jan 2018
Nipashe

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), kupitia Kamati yake ya Saa 72, imetoa maamuzi kwa  baadhi ya michezo ambayo iligubikwa na utata hususan michezo...

Pages